Manchester United (Red Devils) | Special Thread

kiwango chake kama mo banka tu.
 
Aise Pogba unamuita goigoi?? Huoni anavyokichafua pale France!! Uyu Pogba ni kwamba hana mzuka na OT tena ..subiri asepe ndo utaona umuimu wake ..Paulo ni moja ya viungo bora sana kweny mpira wa sasa ..Sema timu anayocheza ndo inamuangusha..
 
naunga mkono hoja yako
Penison na Ollachuga Oc ni ndugu wawili wasiojuana
 
Huyu dogo bado ni type ya kina kepa arizabalaga , Alipigiwa promo sana za kutaka kuuzwa bei kubwa na Wakala wake mino raiola ,
Kepa ana namba Spain uko ..wee endelea kupiga mboyoyo Leno atabaki kwenye first XI ya arsenal tu..

Kila la kheri Chelsea
 
Mimi siipendi Manchester as Manchester na sio wachezaji wa Manchester, Current players have nothing to do with our historical background

Kwahiyo Pogba na Martial ninawakubali sana
Na Martial pia kumbe unamuelewa

Strength zake ni zipi??
 
Premier League clubs are set to get rid of the early closure of the summer transfer window. United along with a growing amount of other clubs want to return to the previous system.

Kwamba muda ni mfupi au? What is logic here?
 
Source? Kama ni kweli

Sababu ni kwamba, kwa kuwa ni wao tu ndio wanafunga mapema kwahiyo wengine (Ulaya) wanakuwa na advantage ya kuendelea kusajili wakati wao hawawezi kusajili tena. Mbaya zaidi timu nyingine zinaweza kuwabomoa wao wakati wao hawawezi kujijenga tena.

Kufunga dirisha kabla ligi haijaanza ni wazo zuri kama vilabu vyote Ulaya vingekubaliana kufuata huo mfumo
View attachment 1200494
Premier League clubs are set to get rid of the early closure of the summer transfer window. United along with a growing amount of other clubs want to return to the previous system.

Kwamba muda ni mfupi au? What is logic here?
 
Aise Pogba unamuita goigoi?? Huoni anavyokichafua pale France!! Uyu Pogba ni kwamba hana mzuka na OT tena ..subiri asepe ndo utaona umuimu wake ..Paulo ni moja ya viungo bora sana kweny mpira wa sasa ..Sema timu anayocheza ndo inamuangusha..
Mchezaji unatakiwa ujibrand hata kama timu inaenda mrama bado unatakiwa uoneshe ya kwamba we ni world-class player, wengi tumesoma shule za Kata enzi hzo unakuta walimu watatu na NECTA ni jiwe , lakni kuna wababe walikuwa wanachomoka na dv 1 au 2, hawahitaj mazingira kuwin battle, ....kama Pogba mpak awekewe mazingira maalum ndo aonekane bas huyo sio world-class player , ni mchezaji tu wa kawaida kama shishimbi mwenye majonjo mengi
 
There you talk man

Messi mara ngapi humu watu wanasema kuwa Barcelona ni Messi..that means kuwa anaibeba timu mgongoni hata kipindi wachezaji wengine wakiwa hawaperform vizuri au wako hovyo..na anafanya hivyo consistently..

Sasa watu wanataka Pogba azungukwe na World class players wote ili na yeye tumuone kuwa ni World class..Hakuna kitu kama hicho

Naamini hakuna anayebisha kuwa Pogba ni Talented lakini watu wanalaumu work rate yake,na mizaha mingi anayoifanya as if ni mtu ambaye ajamature..

Kuna wengine wanazungumzia nafasi anayochezeshwa,mind you,hakuna nafasi ambayo Pogba hajawahi kuchezeshwa ambayo watu wanashauri achezeshwe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…