Ha ha ha hata Rais Magufuli hulitumia hilo nenoHapo kwenye right track ndipo paliponifanya nikomee njiani kuendelea kusoma ujumbe na kubaki najichekea mwenyewe tu
Daa ila we nawe unatia aibu basi tu ha ha haSasa mimi nimedraw na Sheffield wewe utamfunga?
Stori za kijiweni hizi na zilishapitwa na wakatiSerie A ni ligi ambayo beki wanakaba sana, it's not an open play style league. Striker anaefunga sana Serie A naamini akija EPL au akaenda La Liga lazima ang'are zaidi
Mhuuu kweli ungejilipua hadi MarchisioNingekua solskjaer muda kama huu ningejitoa ufahamu nitafute free agent mmoja kati ya hawa watatu
1. Fernando llorente ni mchezaji mzuri kwa akili ya uzoefu pengine hii mipira ambayo inatoka pembeni angeweza kusaidia katika vichwa na finishing na lingine huyu jamaa unaweza kuwasaidia hawa madogo kina greenwood na martial wapate exposure na kujifunza kutoka kwa mzee huyu.
2. Hatem Ben arfa. Mtukutu huyu hakuna timu inamtaka kutokana na tabia zake chafu ila anarekodi nzuri sana uwanjani hasa katika kupandisha mashambulizi ningekua Solskjaer nisingeona aibu kusema namchukua huyu mtu muda huu ambapo sina mtu wa kupeleka mashambulizi mbele kwa kazi potelea mbali nidhamu yake cha muhimu nipate matokeo hadi January nisajili kina Bruno tu
3. Claudio Marchisio babu huyu ni fundi haswa kwa tunaomfahamu ameisha saivi ila msimu uliopita bado niliona ananguvu ya kucheza bado. Naamini akipewa nafasi atatusaidia sana tuondokane na hii aibu iliyombele yetu msimu huu. Marchisio akicheza na Pogba wanaelewana vizuri sana. Pengine hii ni karata ngumu ambayo bado kocha wetu anaweza kujitoa ufahamu nakuicheza.
Bila maamuzi magumu haya basi tutegemee msimu huu tutapigwa hadi tuchakae. Maana sioni hata tukiwa mid table club maana kuna watu wamejipanga kama Leicester ya Rodgers na Everton ya Marco Silva wanatimu Kali kuliko united.
Tufunge tusali maana hichi kikombe ni cha kwetu msimu tutegemee vichapo tu. Na kuotea vibonde kama Chelsea wenye hali mbaya kama sisi.
GGMU
Hivi mnaosema Pogba hapo Man U hachezi vizuri kwa sababu hachezi kwenye namba yake mnamaanisha nini? Kuna tofauti gani hapo anapocheza na akiwa France? Huyo mchezaji ana utoto mwingi sana. Hapo Man U walikosea ktk dirisha kuu. Wangemuuza huyo halafu wakaleta watu wanaocheza kazi pevu. Naamini wangemuuza halafu wakaleta Savic na Bruno Fernandez pasingetosha hapo kati. Ila kwa sasa tutegemee utoto na majivuno ya huyo kijana mweusi kama sisi yatatukomesha hadi mwisho Wa msimu. Kocha anakwambia anasajili na kubakisha wachezaji wenye kupigania timu, sasa sijui tunaona tofauti ktk work rate ya pogba!? Binafsi namchukulia ni mchezaji asiyejituma,asiyejali, anaye/atayeigharimu timu na mjivuni.
pogba ni hatari man u hakuna mchezaji wa level yake ya kidunia, pale ufaransa akikutana na level Yake Blaise na N'golo utajua pogba ni world classPogba ni moja ya sajili mbovu kabisa Man Utd walizowahi kufanya, Kinachonishangaza mimi nikua bado club inamng'ang'ania badala ya kumpiga bei akenda kuripukia mbele.
Management ya Man UTD ina matatizo sana aisee
pogba ni hatari man u hakuna mchezaji wa level yake ya kidunia, pale ufaransa akikutana na level Yake Blaise na N'golo utajua pogba ni world class
Kama kuna watu wanapata tabu kwenyeYaani epl ni matatizo makubwa jamani.
Angalieni waitaliano watakavyo wafaidi mikh na SanchezLukaku tayari tumeshaona shughuli yake huko.
Hakuna kitu kama hicho..huitaji kuzungukwa na world class players wote ili wewe ujionyeshe kuwa ni world class..pogba ni hatari man u hakuna mchezaji wa level yake ya kidunia, pale ufaransa akikutana na level Yake Blaise na N'golo utajua pogba ni world class
Usajili mwingine mbovu n huu wa juzPogba ni moja ya sajili mbovu kabisa Man Utd walizowahi kufanya, Kinachonishangaza mimi nikua bado club inamng'ang'ania badala ya kumpiga bei akenda kuripukia mbele.
Management ya Man UTD ina matatizo sana aisee
Acha Zarau weweEPL ni kitu chengine! Muulizeni Bakayoko! Huko kwa Wakulima lazina atatupia sana tu.
Usajili mwingine mbovu n huu wa juz
Aseno kwa Pepe cjui Nan aliwaingiza hili chaka
Sio tunajifanya ni kwamba Man u ndio team yenye mashabiki wengi duniani hilo weka akilini mwako.Mwanitesaaaaaaaaaaaaaamimi nilisema mna miaka 15 kuanzia sasa ya mateso makali na kumwaga damu......na hapo badooooo......na mtakupukutika mnajifanyaga mpo wengi sana humu duniani mashabiki wa united.....Na nafasi za timu nzuri zimeshajaa...kaeni kwenye tabu mpaka akili itakapowakaa sawa......Manyumbuuuuuuuuuuu
Sio Siri huyo mwamba anazingua Sana, madoido kibao, analoose mpira linaanza kukimbia kimbia tu uwanjani, na likienda kukaba ujue hyo ni faulo tayarPogba ni moja ya sajili mbovu kabisa Man Utd walizowahi kufanya, Kinachonishangaza mimi nikua bado club inamng'ang'ania badala ya kumpiga bei akenda kuripukia mbele.
Management ya Man UTD ina matatizo sana aisee
ila kiuwezo Maddison yupo mbali sanaFraser huwa anacheza free role pale Bournemouth