Manchester United (Red Devils) | Special Thread

TOT wamefanya kosa la kuwaruhusu ManU wachezee mpira watakavyo, wasipoangalia itawacost.
 
...Wamesepa wote lol! kama matokeo yatabaki hivi nitampitishia BJ chupa ya wine ili ajiliwaze najua saa hizi yuko hoi bin taabani
Pitisha 2 nitakuwa naye!!! Leo Arsenal kscheza na mabingwa wa ulaya nipe matokeo
 
Naona T"ham wamepaki Bus na wametoa na Matairi kabisa.... No movement at all....
 
RIO hana Kazi.... Bora atoke.....Defoe nae hana kazi.... hahahahahaaaaaaa
 
Mpira umeisha wameshinda kwa mara ya kwanza toka 1989 yule kijana anaitwa Mtotowamjini hatokuwa na cha kutusumbua
 
Game Over... Hamjapewa Penalty Poleni sana..... AVB is full of Joy..... Poleni sana watani....
 
T'Ham has rescued my day.... Wangesema sana hawa Manure!!!!
 
Yuwapieeee...
Yuapi mamake harus aje apa tuangaike nae...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…