Mchezaji gani alikataa kuja utd akaenda Burnley + Watford mkuu?Club tajir namb 1...tatzo nn sijui aya tukamkosa Pepe, man u inaongoza kwa tetes za usajir pia hv kwann Man u ata ishindanie mchezaj na na timu ndog km Watford au Burnley basi mchezaj atakwend uko sio Man
Kaliamsha tena?Pogba out.
Images zinasambaa twitter zikisema "Pogba out"Kaliamsha tena?
Uongo unakupaga faida gani wewe mwanadamuImages zinasambaa twitter zikisema "Pogba out"
Kwa kikosi chetu akitoka na PP mbona hatari..Images zinasambaa twitter zikisema "Pogba out"
Shida ya waTz wengi ndy hii!Uongo unakupaga faida gani wewe mwanadamu
More than hatar..Kwa kikosi chetu akitoka na PP mbona hatari..
Kuondoka kwa Sanchez pale OT hakutapunguza chochote uwanjani kwa sababu hata uwepo wake haukuleta chpchote pia.√Mnaomtaka Sanchez abaki sababu zenu ni zipi??
√Alikuwepo hapa kwa muda, amefanya nini??
√Martial kaumia,sasa ni bora tumpe nafasi Greenwood ambaye analeta matumaini kuliko huyu Sanchez..sijui ni kitu gani kimempata huyu jamaa
Hii timu ni ya kujengwa na haiwezi kujengwa over a night..lazima tujaribu kusafisha deadwoods taratibu..hata kama Ole hatafanikiwa basi kocha ajae itakuwa kazi rahisi kwake..Japo anaenda kwa mkopo lakini mimi naona sawa tu
No Sanchez no worry..maana hata akiwepo hakuna anachoongeza zaidi ya kutukasirisha tu..
Hayo ni maoni yangu..
Kwahiyo Madrid wameshaweka ofa kwa Bruno Fernandez au ni rumours tu za magazetini ?More than hatar..
Ila madrid kama wamem-target Bruno F kama Pogba deal likishindikana.
Yamefanyika mawasiliano kati ya wawakilishi wa Real Madrid na Wakala wa Bruno pamoja na kwamba tayar Sporting walishasema kias cha fedha wanachotaka ( na kinafikika) hivyo ni on-going process hadi hapo spt 2 itajulikana rasmi atakua ameshajiunga au lah.Kwahiyo Madrid wameshaweka ofa kwa Bruno Fernandez au ni rumours tu za magazetini ?
Yamefanyika mawasiliano kati ya wawakilishi wa Real Madrid na Wakala wa Bruno pamoja na kwamba tayar Sporting walishasema kias cha fedha wanachotaka ( na kinafikika) hivyo ni on-going process hadi hapo spt 2 itajulikana rasmi atakua ameshajiunga au lah.
√Mnaomtaka Sanchez abaki sababu zenu ni zipi??
√Alikuwepo hapa kwa muda, amefanya nini??
√Martial kaumia,sasa ni bora tumpe nafasi Greenwood ambaye analeta matumaini kuliko huyu Sanchez..sijui ni kitu gani kimempata huyu jamaa
Hii timu ni ya kujengwa na haiwezi kujengwa over a night..lazima tujaribu kusafisha deadwoods taratibu..hata kama Ole hatafanikiwa basi kocha ajae itakuwa kazi rahisi kwake..Japo anaenda kwa mkopo lakini mimi naona sawa tu
No Sanchez no worry..maana hata akiwepo hakuna anachoongeza zaidi ya kutukasirisha tu..
Hayo ni maoni yangu..
Katika kipindi hiki ambacho hatuna Lukaku na hakuna usajili uliofanyika kuziba pengo lake,kusema Sanchez hana umuhimu ni kucheza kamari. Timu haina namba tisa halisi, Martial na Rashford hawa sio #9 halisi. Sanchez alicheza kama #9 kwa mafanikio pale Arsenal. Fikiria Martial ameumia,hatokuwepo mchezo ujao. Mchezo ujao aumie tena Rashford awe nje kwa miezi kadhaa, hapa si unamaliza nafasi ya 13? Utamtegemea Greenwood kama mshambulizi pekee akufanye umalize top4? Hawa watoto sio wa kutegemea kwa kiasi kikubwa kama unavyotaka tufanye mkuu. Greenwood mpe dakika 10 za mwisho wakati unaongoza,akiingia kwa presha ndio mipira itakuwa ikimgongagonga mpaka anachanganyikiwa. Nasubiri, mpaka December Ole atakuwa ameshaanza kusukumiwa jumba bovu. |
Ni loan.Inakuwaje anaruhusiwa kuondoka. Ikiwa Martial majeruhi yanamuandamaga, ?
Am sure Ole hafikishi Chrismass.Ole ole olesendeka. Huyu kocha sijui anatumia ubongo gani. Sasa martial kaumia na yeye anamuuza sanchez, ili forwad awe greenwood. Hahaaaà, ngoja tukae kimya
Wakati tatizo lipo kwa wamiliki na mwajiri wao Ed.
Katika kipindi hiki ambacho hatuna Lukaku na hakuna usajili uliofanyika kuziba pengo lake,kusema Sanchez hana umuhimu ni kucheza kamari.
Timu haina namba tisa halisi, Martial na Rashford hawa sio #9 halisi. Sanchez alicheza kama #9 kwa mafanikio pale Arsenal.
Fikiria Martial ameumia,hatokuwepo mchezo ujao. Mchezo ujao aumie tena Rashford awe nje kwa miezi kadhaa, hapa si unamaliza nafasi ya 13? Utamtegemea Greenwood kama mshambulizi pekee akufanye umalize top4?
Hawa watoto sio wa kutegemea kwa kiasi kikubwa kama unavyotaka tufanye mkuu. Greenwood mpe dakika 10 za mwisho wakati unaongoza,akiingia kwa presha ndio mipira itakuwa ikimgongagonga mpaka anachanganyikiwa.
Nasubiri, mpaka December Ole atakuwa ameshaanza kusukumiwa jumba bovu.
Sanchez kaondoka lakini bado anakunja zaidi ya pauni 250k uku inter wakikubali kulipa 150k ivyo mkataba wake wa mkopo ukiisha atarudi tena kumalizia miaka yake miwili uku akiendelea kukunja zile zile pauni 400k(zaidi ya Tsh billion 1.1) kwa wiki..√Mnaomtaka Sanchez abaki sababu zenu ni zipi??