Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Ila Newcastle ni wazuri wale jamaa bas tu watu hamjataka kuwachunguza kiundan, wana yule almiron halafu Bruce anaweka viungo wengi kati, hivo wakikutangulia ,umekwishaNaona Wolves kazi yao ni kupania tu vigogo
Spurs nao wame prove kwamba United kufungwa na Palace nyumbani haimaanishi ni wabovu kiivyo
Ngoja tujifariji
Mkuu ozil kaharibiwa na kocha wetu kichaa unai ,Pogba ni sawa na Ozil tu,hakuna kitu.
Naona Wolves kazi yao ni kupania tu vigogo
Spurs nao wame prove kwamba United kufungwa na Palace nyumbani haimaanishi ni wabovu kiivyo
Ngoja tujifariji
Sio kafungwa tu, Sema kafungwa 4-0Mbona ssa mlkuwa mnsema chelsea ni mbovu kisa kafungwa na man u
Hata Palace msimu uliopita aliwasumbua vigogo, nahisi City na LiverpoolIla Newcastle ni wazuri wale jamaa bas tu watu hamjataka kuwachunguza kiundan, wana yule almiron halafu Bruce anaweka viungo wengi kati, hivo wakikutangulia ,umekwisha
Spurz haisemwi tu ,ila msimu uliopita away alikuwa na form mbaya sana , japo Leo kapigwa kwake,
Leo kakosekana Ndombele ,Newcastle wamewazuia mwanzo mwisho.
Wamewaruhusu hao kuondoka , lkn wameleta Jelnton kwa £40m kutoka hoffnehim , na Almiron anakimbiza sana ,Hata Palace msimu uliopita aliwasumbua vigogo, nahisi City na Liverpool
Newcastle msimu huu amewaruhusu Rondon na Ayoze Perez kuindoka kwa hiyo mbele hawana makali sana
Kwahy unajifariji kisa na yy kapoteza?Hata spurs kachapwa kwake
Huyo ni salah na luizLewandoski balaaView attachment 1190305
Huyo ni salah na luiz
Stadium capacity ni 18000 tuView attachment 1190041Washabiki wa Monaco wamesusia timu, au uwezo wa Stade Louis II ni idadi hiyo ya mashabiki? Matokeo ni muhimu.
Yaan bora nyie mna Ole ana kikosi cha kwanza ,ila hana wachezaji wa maana kwa sehemu kubwa, sisi tuna kocha anaweka wachezaji nje anaanza na U21 , .More time for OGS? View attachment 1190409View attachment 1190410
Kama kweli utetezi wa man united kutomsajili Bruno Fernandez ni passing accuracy yake basi kuna tatizo mahali vichwani mwa wafanya maamuzi wa united.
Mechi hii tutafungwa pia man united kwa sasa haisumbui timu yoyote pale EplHabari zenu wakuu..
i hope Machungu ya kipigo cha jana atakuwa yamepungua...nilipotea kidogo..Nina point Chache kulingana na ile mechi.
Points zangu ni zile zile za siku zote na Nashukuru kocha ameanza kuzifanyia kazi baadhi ya hizo.
1.DANIEL JAMES;
niliwahi kuzungumza humu zaidi ya mara tatu kwamba huyu dogo inapaswa Achezeshe kwenye natural position yake aliyozoea(LW).Kocha lifanya jambo lamaana kumrudisha ndo hadi akatusawazishia goli.
2.JESSE LINGARD;
Nashindwa kuelewa huyu mtu anafanya nini Man U mpk leo na yupo kwenye first 11daily..wkt tuna MATA,ANGEL GOMES,CHONG,GREENWOOD,PEREIRA Ambao wakipewa nafasi wanaweza kuperform kuliko yeye.
3.POGBA;
Narudia tena..pogba sio CDM..tunahitaji mtu wa kumfungua ,awe free ili afanye makeke yake,kuliko kubaki chini kama Ng'olo Kante..!
4;RASHFORD;
Ilikuwa ni penati muhimu sana..ni penate yake ya kwanza kukosa..SIMLAUMU.
NEXT MATCH; SOUTHAMPTON..ni opponent mgumu sana hasa akiwa nyumbani..but i hope tutaondoka na points tatu muhimu..
GGMU GGMU GGMU GGMU.