The real Daniel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2017
- 2,136
- 8,005
Ila huyu mtoto ana akili sana na analijua goli, shida ipo kwa Ole na upangaji wake tu.
Hivi ni kweli kwamba Matic ndio ameisha kabisa?
Hahahahaha mkuu walisema wame impruvuGoli nne dhidi ya Chelsea inayochechemea yakawapa imani mna timu ya maana ya kuleta ushindani. Labda mkashindane na Arsenal huko Europa league
Maguire hana tatizo. Tatizo liko katikati. Pogba ni kama anacheza yeye na kivuli
Nilisema humu kama sikosei, tatizo kubwa la MUFC lipo pale kati. Bado mechi chache tutaanza tena kuona Bissaka na Harry sio mabeki kumbe tatizo ni viungo watepetevu. |
Huyu hata goli 6 kwa msimu hafikishi.Lingard msimu 2018 - goals 4 Assist 4
msimu 2017 - goals 0 Assist 0
msimu 2016 - goals 0 Assist 0
msimu 2015 - goals 0 Assist 0
msimu 2014 - goals 0 Assist 0
msimu 2013 - goals 0 Assist 0
msimu 2012 - goals 0 Assist 0
msimu 2011 - goals 0 Assist 0
msimu 2010 - goals 0 Assist 0
msimu 2009 - goals 0 Assist 0
msimu 2008 - goals 0 Assist 0
msimu 2007 - goals 0 Assist 0
Lingard msimu 2018 - goals 4 Assist 4
msimu 2017 - goals 0 Assist 0
msimu 2016 - goals 0 Assist 0
msimu 2015 - goals 0 Assist 0
msimu 2014 - goals 0 Assist 0
msimu 2013 - goals 0 Assist 0
msimu 2012 - goals 0 Assist 0
msimu 2011 - goals 0 Assist 0
msimu 2010 - goals 0 Assist 0
msimu 2009 - goals 0 Assist 0
msimu 2008 - goals 0 Assist 0
msimu 2007 - goals 0 Assist 0
Nasubiri wajibu niweke pesa
Mkuu mbona kama mna-panic?? Jamaa si anatania tu hapo??
Hapana,huo sio utani wa kimichezo tuliozoea hapa jukwaani. Siwezi kupanic kwa utani wa kawaida kwasababu hata mimi natania pia. Awatafute hao niliwaorodhesha hapo ataona utani wa mpira ulivyo. |
Timu haiwezi kwenda na vitoto tu, nilitegemea aingie matic baada ya kutoka lungard, ili pogba apande juu na matic aende chini, nikashangaa kitoto kinaingizwa.
UBAYA WQ VITOTO, VINACHEZA VIZURI GAME MOJA, VINAHARIBU GEMU NNE.
ole at the wheel
Hapo ndipo nilichoka kabisa mkuu, au basi angeingiza hata Mata kama hamuamini Matic kabisa. Hadi hapa naamini Ole pamoja na ubovu wa timu katika usajili,jamaa ni mbabaishaji tu. |
Hahahaaa mkuu punguza sauti kidogoSisi Man United lazima tubebe ligi ..yani tuna Rashid, Masho, Lingad kwa nini tusibebe EPL bwanaachilia mbali DeGea, Bissaka, Magwaya dah...
Sisi Man United lazima tubebe ligi ..yani tuna Rashid, Masho, Lingad kwa nini tusibebe EPL bwanaachilia mbali DeGea, Bissaka, Magwaya dah...
| ||
Hahahaha mkuu hivi mpka sasa tuna point sawa eeh
Mkuu,mara hii tu tumekuwa sawa,kweli dunia duara.
Hahaha hii timu yetu itatuua kwa puresha banaHahahaaa mkuu punguza sauti kidogo