Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kuna mtu alinibishia sana kwamba lukaku kuuzwa ni sahihi nafikir kajionea leo

Martial hawez kuwa striker bado anasumbuka kucontrol mpira anapoteza hovyo mipira ni bora kubak na lukaku anaweza kukupa msaada mipira ya vichwa kuliko kubak na mtu wa kudrible
 
Nisiwe muongo nimeumia kichizi kudroo hii mechi
Wachezaji wameishiwa molari kabisa Baada ya pogba kukosa penati.
Pogba, pogba, pogba
Haya bana
Ni masifa tu,mpigaji alikuwa Rashford, Ole amemfanya Pogba awe juu ya timu na ataharibu mshikamano wa timu muda sio mrefu.
 
Man kuna ka usajili kanakosekana kadogo sn.Hivi vitoto lingard ni vya hovyo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…