Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu unasubiri mechi ya 5 ipi? Mbona ameonesha uwezo wake katika mechi zaidi ya 100,akiwa Shefield, Hull, Leicester, Three Lions na sasa United?
 
Hivi inavyodaiwa kwamba OGS anataka wachezaji wanaopenda kuichezea MUFC huwa anamaanisha Pogba ni miongoni mwao au?
 
Ole muoga wa kucoach wachezaji wenye majina kama Pochettino.
Vituko anavyofanya Pogba unatamani hata auzwe tu timu ibaki na wachezaji wanaotamani kuwa pale.

Kiufupi Pogba analazimishwa kuwa pale tu,moyo wake haupo pale.

Timu yetu ni mbovu kwasababu iliona kabisa Pogba akili yake haipo pale lakini ikaacha kununua viungo watakaoweza kusimama Pogba atakapoleta mbwembwe.
 
Kuna wakati naona bora asiuzwe (angalau kwa msimu huu) ili apate maumivu ya kucheza timu anaidhalikisha

He should be punished some how for the way he is treating United
 
Pogba kafanyaje tena ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…