Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,786
- 35,747
Kwanini tulipo wapiga bao nne ukakimbia kabisa teh tehRefa kawabeba sana hongereni kwa ushindi wenu wa kwanza ..
Magwaya na Bissaka bado hawaja improve chochote, ni gemu tu ilikuwa upande wenu..
#TukutaneDarajani
Asante sana kwa kuuliza Mkuu ..Sorry, Mbugila ina maana gani
mfano pale LIVERPOOL Van Dijk akichukua tuzo ya Europe maana yake nini? timu yake inashambuliwa sanaaaàaaaa.Mimi nitaanza kuona mwelekeo wa timu baada ya mechi tano.
Kwa sasa naiona Man united ileile ambayo kama inashinda basi inashinda kwa udhaifu wa timu inayocheza nayo siyo kwa ubora wa Man united yenyewe.
Kiungo chetu cha ukabaji bado kinakaba kwa macho na kiungo cha ushambuliaji kinapoteza mipira na kuipoteza build up ya mashambulizi, kama man of the match ni central defender basi sisi ndiyo tulioshambuliwa zaidi kuliko wenzetu. Kama Chelsea ingekuwa na wachezaji waliokomaa walau wawili kule mbele kuanzia first half huenda matokeo yasingekuwa hivi.
Ni imani yangu tutaendelea kuimprove kadri ligi inavyoendelea.
Taahira mama yako fala weweWewe Ng'ombe acha kuniita Mimi mshenzi, imbecile wewe... Nimetoa angalizo kwa nilichoandika umeishia kuvamia usichokijua taahira wewe ..
Uzuri wangu ni kwamba ukija kijinga jinga na Mimi nakuja kijinga jinga ..That's my principle .. Sasa nakusubiri uje kilofa unijibu kama unavyomjibu house girl wenu nikumalizie akiba ya makombora ambayo huwa nayanyunyiza kwa mataahira kama wewe ambao mmekimbia Dozi za milembe..
Mbugila wewe.
Wewe uliona performance ya timu ?mfano pale LIVERPOOL Van Dijk akichukua tuzo ya Europe maana yake nini? timu yake inashambuliwa sanaaaàaaaa.
tatizo letu sisi tuanaangalia negative zaidi, mfano CB akiwa anafunga kama Ramos na kutoa miasisti, kupandisha timu na kuanzisha mashambulizi au kupiga basi za uhakika hiyo inakuwa haitoshi yeye kuwa man of the match?
by the way, man of the match alikuwa Rashford si Maguire5
ndio, ilikuwa bora kuliko ya msimu uliyopita nazungumzia mechi zile mbili against ChelseaWewe uliona performance ya timu ?
Mkuu tumefikia huku? Kwanini tusipambane kwa hoja? Bunduki za nini? Hutaki kukosolewa unapokosea? Utajifunza nini sasa
Wewe Ng'ombe acha kuniita Mimi mshenzi, imbecile wewe... Nimetoa angalizo kwa nilichoandika umeishia kuvamia usichokijua taahira wewe ..
Uzuri wangu ni kwamba ukija kijinga jinga na Mimi nakuja kijinga jinga ..That's my principle .. Sasa nakusubiri uje kilofa unijibu kama unavyomjibu house girl wenu nikumalizie akiba ya makombora ambayo huwa nayanyunyiza kwa mataahira kama wewe ambao mmekimbia Dozi za milembe..
Mbugila wewe.
OK nakuja jipangeTaahira mama yako fala wewe
Defence ilikuwa nzuri lakini kiungo ilifuja sana kwa sababu 65% ya mchezo Chelsea walitu outperformndio, ilikuwa bora kuliko ya msimu uliyopita nazungumzia mechi zile mbili against Chelsea
Samahani mkuuYa mavi au
Mechi ya Liverpool nayo kiungo ya Chelsea iliwafunika Liverpool?Defence ilikuwa nzuri lakini kiungo ilifuja sana kwa sababu 65% ya mchezo Chelsea walitu outperform
Huu ni mtaa upo mbeya pale, karibu na Iyunga Tech Sec. Ila kaitwa mtu!
Huyu jamaa kwasasa ni tajir mkubwa sana huko chile
Kwa Wage anayobeba hata Mimi ningegoma kuondoka nikahiari nikae Bench.
Hawa maskaut wapo sahihi kabisa ila mashabik huwa mna mihemko sana , huyo Bruno mashabik wengi mmemuona game hazizid 5, maskaut wamemfatilia msimu mzima.
Wakuu ebu tujadili hii maneno,yawezekana wataalamu wako sahihi sisi wanazi tunalazimisha usajili.
Detective D Yodoki II @McCare Bavaria hindustan Tanayzer CHIEF MKWAWA
Hahahahaaaaaa ndio hoja kuu kama zile za chademaMkuu turudi jukwaa letu kule..humu utaskia tu "midfield" inasumbua, Pogba anatakiwa aache utoto, Bruno angekuja, Rashford bado sana nk
Tu assume maskauti wapo sahihi na bwana Woodward alikuwa anajua hatumsajili toka mwanzo, kwanini hatujasajili mwengine Sasa? Siamini Kama Bruno hajafaa Basi timu isiendelee kutafuta mchezaji mwengine.Hawa maskaut wapo sahihi kabisa ila mashabik huwa mna mihemko sana , huyo Bruno mashabik wengi mmemuona game hazizid 5, maskaut wamemfatilia msimu mzima.
Umechambua vizuri. Ingawaje Chelsea tuwape credit wanatia matumainiMechi ya Liverpool nayo kiungo ya Chelsea iliwafunika Liverpool?
Binafsi naona kiungo chetu kilifunikwa sio down to individual Andreas, Scot na Paul bali ni namna Chelsea wanavyo approach game.
Pia inabidi tuweke kumbukumbu sahihi, Chelsea walikuwa bora katikati kuliko United kwa dakika 20 za mwanzo, the rest ilikuwa fifty fifty na mwishoni, United tuliwafunika kabisa.
Ndio maana hata game ya Liverpool, Chelsea walikishika kiungo sababu ya style of play. Siwezi amini kuwa midfielders wa Chelsea ni bora kuliko wa Liverpool
Quality ya Kante na Joginho ni kubwa sana pale EPL. Ukiwaongeza Kovacic, Barkley na huyu dogo Mount inaonekana wako bora sana katikatiMechi ya Liverpool nayo kiungo ya Chelsea iliwafunika Liverpool?
Binafsi naona kiungo chetu kilifunikwa sio down to individual Andreas, Scot na Paul bali ni namna Chelsea wanavyo approach game.
Pia inabidi tuweke kumbukumbu sahihi, Chelsea walikuwa bora katikati kuliko United kwa dakika 20 za mwanzo, the rest ilikuwa fifty fifty na mwishoni, United tuliwafunika kabisa.
Ndio maana hata game ya Liverpool, Chelsea walikishika kiungo sababu ya style of play. Siwezi amini kuwa midfielders wa Chelsea ni bora kuliko wa Liverpool
Tunatia matumain?? Mna maanisha nyie mko vizuri sana Si ndio??Umechambua vizuri. Ingawaje Chelsea tuwape credit wanatia matumaini