Magwaya na Bissaka watafanya nini leo mbele ya Barkley, Pulisic na Tammy?? Hahaha achilia mbali Geroud, Pedero, na Willian ..hii manure naona kabisa itaoga goli nying sana.
Ktk mech ya leo hao ndio wachezaji bora uwanjani pogba,perrera,scott na lingard wanaongeza idadi ya watu uwanjani msaada wao haupo labda tusubir kipind cha pili
Lukaku hata angebaki still angeendelea kuwa back up ya Rashford so kimpira hili ni tusi ila kiuhalisia hakuna kinachoshindikana
Romario to Ronaldinho..............Scolali
Ronaldinho to Messi...................Pep
Nestlerooy to Ronaldo/Rooney........SAF
Lukaku to Rashford up next.........Solksjær
Sioni anachofanya rashford ukiacha penat aliyopiga timu bado haina striker rashford hawez kumuweka bench lukaku ila kwa mapenz ya kishabik utaongea hivyo
Ana kitu potential ukimwangalia anakwenda mbele hana mpira wa Back pass ana macho ya kwenda mbele na kukaba anajitahidi hatujapoteza soko la mpira limebadilika Tu
Sioni anachofanya rashford ukiacha penat aliyopiga timu bado haina striker rashford hawez kumuweka bench lukaku ila kwa mapenz ya kishabik utaongea hivyo
Yeye na mwenzie Tony martial kama wapo kwenye mazoezi nachukia Mshambuliaji umeguswa kidogo Mguu, hujaumia mpira upo kwenye position yako unamwita refa na kuacha Mpira
Yeye na mwenzie Tony martial kama wapo kwenye mazoezi nachukia Mshambuliaji umeguswa kidogo Mguu, hujaumia mpira upo kwenye position yako unamwita refa na kuacha Mpira