Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Umeandika as if united ndio timu pekee ambayo ina weakness. Kuna wengine tena hao wakubwa tena wamekuwa wakiwapa washabiki wao presha hata kabla ya man u kushuka chini
 
sio lazima youngsters watolewe kwa mkopo ndo wakafanye vizuri.....Messi alitolewa kwa mkopo?
 
Mambo ya nje ya uwanja hayana faida yeyote kwa nini fans. Furaha yenu ni timu kubeba makombe ..sasa ngoja ipite iyo miaka 20/30 empty uone timu itakavyopoteza mvuto.

Mfano rahis tu ni Liverpool..ilipoteza mvuto kabisa mpaka ndo wanarudi kwenye Peak yao taratibu..
 
Hii game ni ya kushinda mkuu..Hatuwezi tukafungwa OT game ya kwanza ya ligi na tukakubali tu matokeo kirahisi

Vijana wapambane watupe ushindi by any means

Afterall chelsea sio hatari kama tunavyowafikiria in my opinion
Ni mawazo yako mkuu lazima tuyaheshimu. Ngoja tuone matokeo uwanjani..
 
Game ya leo ni kubwa. Matojea yoyo're tuyapokee bila mzuka.
Sasa inakuaje unakubali mapema kupokea matokeo bila mzuka


Ukishinda lazima utakuwa na mzuka tu, ukifungwa ndo vile lazima uwe na mzuka tu


Man united1-3 Chelsea
 
Bora chelsea mara mia hahah? Kwa mtazamo wangu mna overrate chelsea sana. Wkt bado ni timu ya kawaida tu. Iaitoshe hawajasajili zaid wameuza tu means wanarudisha kikos kilekile cha mwaka jana.
Magwaya na Bissaka watafanya nini leo mbele ya Barkley, Pulisic na Tammy?? Hahaha achilia mbali Geroud, Pedero, na Willian ..hii manure naona kabisa itaoga goli nying sana.
 
Baada ya ya mechi ya leo Ollachuga Oc hatoonekana JF.
Mkuu saa tatu kamili nitakuwa hapa kupokea pongezi za ushindi na kutoa pole nyingi sana kwa wafiwa..

Kwanza nitangulize kutoa pole mapema maana mgonjwa ndo anapelekwa ICU na uwezekano kupona ni mdogo sana. Ivyo tunatarajia ifikapo saa mbili kamili uyu mgonjwa atakuwa hayupo tena duniani.

Poleni sana kwa wafiwa!!!
 
Mchezaji pekee niliekuwa namuheshimu ni hazard . Hao watoto wadogo wakanywe uji. Tammy si alitoleqa kwa mkopo? Barkely ... maybe pulisic kidogo.

Giroud namfaham sana hakuna kitu pale. Pedro atleast labda.

Im short man timu yako haitishi kwa lolote. Wachezaj wakali wameshasepa hawa waliobaki ni doz tu.
Magwaya na Bissaka watafanya nini leo mbele ya Barkley, Pulisic na Tammy?? Hahaha achilia mbali Geroud, Pedero, na Willian ..hii manure naona kabisa itaoga goli nying sana.
 
Usijipige ban leo. Maana nakufaham vizur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…