Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bado sijaridhika na kiwango cha uchezaji wa ManUtd. In the return match in Turkey the host team can do better
 

Ni kawaida katika game maamuzi mabaya yakiwa upande wako usimind sana kuna siku maamuzi hayohayo mabaya yatakuwa upande wa adui yako
 
...BJ & Co hongereni sana Wakuu...weye si ndio zako hizo. Huwa unaminya kuangalia kimya kimya mambo yakiwa mabaya unasepa kimya kimya 🙂 kama hukuwepo lol! yakiwa mazuri unaibuka na kuanza kushangilia kwa nguvu zote.

FT 1-0 Man U kidedea.. Questt umeanimini nilikwepo mwanzo mwisho ee?!! nite
 



Hongereni wakuu kwa kubebwa na mbeleko
tatizo lenu hambebeki khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Liverpool: Reina, Kelly, Skrtel, Agger, Johnson, Gerrard, Allen, Shelvey, Borini, Suarez, Sterling. Subs: Jones, Jose Enrique, Sahin, Assaidi, Henderson, Carragher, Fernandez Saez.
Man Utd: Lindegaard, Da Silva, Ferdinand, Evans, Evra, Carrick, Giggs, Valencia, Kagawa, Nani, van Persie. Subs: De Gea, Anderson, Hernandez, Welbeck, Scholes, Cleverley, Buttner.
Referee: Mark Halsey (Lancashire)
 
Hii mechi menikutia pabaya Questt nitasikilizia update zako pamoja na wakuu wengine! Go Man U
 
Last edited by a moderator:
hodiiiiiiiii! Hoooodi! Hodi jaman, mh naona huku wenyew hawapo labda kama wakishinda bdaye watarud naona toka trh 20 hampo ila nastaajab kuona hata cku muhim kama hii hamko; but nshakumbuka jamaa confidenc f hapa, zao kuwanga kule kw2 ngoja mi niende ntarud bdaye kuwasalimu tena
 
ADUI MUOMBEE NJAA.... Naombea leo mfungwe ili iwe furaha na Morale to ARSENAL.........
 
Siku kubwa leo kwenye majukwaa ya michezo ndani ya JF.

Mie nishaanda maturubai,majeneza mawili na mikeka ya kutosha.
 
u guys r missin here in such a big match it doesnt bring any sense..... can imagine ur heartbeats ryt now...... While liverpool's are inhaling confidence as much as Oxygen......
 
Watani lazima mfungwe aisee...afu baadae nahamia arsenal kushangilia their loss...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…