Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu mimi mwenyewe simuhitaji Dybala ila napinga wanaosema Mata amemuacha mbali Dybala..

Fernandez ndo chaguo langu..then tunahitaji pure replacement ya Lukaku
Ole kashasema they are working on one or two cases sasa nyie hao kina Dyabala na Bruno mtawasajili kwa pesa yenu ?
 
Mkuu mimi mwenyewe simuhitaji Dybala ila napinga wanaosema Mata amemuacha mbali Dybala..

Fernandez ndo chaguo langu..then tunahitaji pure replacement ya Lukaku
Wachezaji wa Amerika kusini wengi hawana record nzuri sana pale OT Dyabala is not an exception
 
Kaka nakuona siku za karibuni umekua mwepesi sana kwa majirani kutujulisha yanayoendelea! Saiv mambo ya Man u najua kupitia wew!

Hii nzur Brother!😊😊
 
Wasepe wasajiliwe wengine. Pesa ipo mipango ipo. Nn kinasubiriwa? Timu haiwez ku rely kwa mabeki wa kiwango cha chini kama.wale
Yaani aondoke Chris Smalling wabaki
Phil Jones
Marcos Rojo
Eric Bailly ?
 
DEAL DONE: ALLY MANGWEA ATUA RASMI MANCHESTER UNITED




Hatimaye Manchester United na Leicester City wamekubaliana dau la Pauni 80 milioni kwa beki wa kati Ally Mangwea.
Nyota huyo mwenye umri wa miaka 26 anatarajiwa kufanyiwa vipimo pale Manchester United wikiendi hii.
Anakuwa mchezaji wa tatu kusainiwa katika klabu ya Manchester United katika dirisha hili, wengine wakiwa ni Aaron Wan-Bissaka na Daniel James ambao walitua wakitokea Crystal Palace na Swansea kwa mfuatano huo.
Tangu amejiunga na Leicester City akitokea Hull City mwaka 2017, Maguire amecheza mechi 69.
Usajili huo unamaanisha kwamba Mangwea amekuwa beki ghali zaidi duniani akipiku kiasi cha Pauni 75 milioni ambacho Liverpool waliilipa Southampton ili kumnasa Virgil Pascal Wawa Januari, 2018.
United walikuwa wakimtafuta Mangwea kwa muda mrefu lakini walishindwa kumnasa miezi 12 iliyopita hiyo ni kwa kuwa mchezaji huyo alikuwa na dau kubwa zaidi wakati Man United walikuwa tayari kutoa Pauni 70 milioni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…