Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,062
- 43,480
Courtouis alikuwa kwa mkopo tu Atletico,Walienda kwa bei gani?
Atletico inaweza kuwa Club inayoongoza duniani kwa kunoa vipaji
Kwa mfano tukianzia makipa tu hadi huyo De Gea wenu ni zao la Atletico ongezea Thibaut Courtouis na Jan Oblak (All Top Top world Class Goalies)
Courtouis alikuwa kwa mkopo tu Atletico,
Martinez alienda kwa 35M kabla ya Inflation.
Hata Lemar kawa wa kawaidaNicolas Gaitan
Kelvin Gameiro
Mwendawazimu huyo jamaaSky Sports footage of Ed Woodward arriving at United’s London offices to continue Dybala talks. View attachment 1170375
Tena si kidogo! Hapo ni hela zaidi!Mwendawazimu huyo jamaa
You know nothing of anything .. Sijui vijana wa zama hizi mnakulishwa nini mpaka mnakuwa wagumu kuelewa .. Hebu karudie kusoma nilichoandika .. Mnasoma hamuelwi .. Sijui hii laana ya kutokuelewa maandishi kwa hiki kizazi "Mufirisi" imetokea wapi ..Watu wanaletaga tu mihemko bila kuangalia uhalisia..
Mata is nowhere near Dybala kwa misimu hii mitatu iliyoisha
Timu yetu inakera Sana kwa tetesi...sijui kwanini tunatetesi nyingi hivi
Ni dili la MaguireSky Sports footage of Ed Woodward arriving at United’s London offices to continue Dybala talks. View attachment 1170375
Hakuna haja ya kuwa too offensive weka hoja utaeleweka..You know nothing of anything .. Sijui vijana wa zama hizi mnakulishwa nini mpaka mnakuwa wagumu kuelewa .. Hebu karudie kusoma nilichoandika .. Mnasoma hamuelwi .. Sijui hii laana ya kutokuelewa maandishi kwa hiki kizazi "Mufirisi" imetokea wapi ..
Comment ya kwanza nilisema Mchezaji tena Paul Dybala kwa ligi Ya EPL tena nikasisitiza EPL na ninarudia tena EPL.. SEME EPL kwa sauti ...
KWA ligi ya EPL hawez kufua dafu , ni bora kuendealea na mchezaji ambae ameshaprove kwenye EPL kama mata au Pereira katika namba 10. Kama timu ikisukwa vyema idara zote Hiyo namba 10 Mata au Pereira wanaicheza vyema tena vyema haswa.
Mimi ni Mdau kindaki ndaki wa Seria a hususani chama pendwa la Napoli "The Partenopei"... Huyo Dybala achilia mbali Mata pale Ligi ya Italy huwezi kumlinganisha Na Zielinski au Milik.. Wachezaji ambae ninawahusudu kama si kuwakubali lakini timu za kimagharibi zilizojaa wapuuzi wanashindwa kuwasajili na kutuletea Takataka Paul Dybala ambae ninajua ni Next Flop kabla ya usajili wake kukamilika ...
Halafu usitake kuleta mabishano na Seria A .. Sidhani hata kama unajua huyo Paul Dybala hata game alizocheza last season nyingi hakuwa impressive kiuchezaji .. Sijui kama unajua hilo . Sasa mchezaji anaeshindwa kuwa impressive Seria A ataweza kutusua ile ligi ya Nginja Ngija , Teke teke , Buti Buti ya EPL??
Finaly Sky Sports is reliable Source.View attachment 1170493
Hakuna haja ya kuwa too offensive weka hoja utaeleweka..
EPL muda mwingine mnaioverate tu..kwamba mchezaji kutoka ligi nyingine akija kwa asilimia kubwa hataimudu..how can you prove this??..
Dybala wa misimu iliyopita ukiachana na huu wa 2018/2019 mbana hamumwongelei lakini mnarefer tu huu ulioisha..
Mata msimu huu ulioisha amefanya kitu gani remarkable kwenye ligi uliyosema ameshaizoea??..
Mimi Mkuu kwa huu usajili wa dybala nilishatahadharisha mapema kiukweli dybala hana maajabu yeyote tunayo yahitaji
Bora u bargain na intermilan kutuachia mauro iCard na Lukaku si dybala
Mkuu mimi mwenyewe simuhitaji Dybala ila napinga wanaosema Mata amemuacha mbali Dybala..Mimi Mkuu kwa huu usajili wa dybala nilishatahadharisha mapema kiukweli dybala hana maajabu yeyote tunayo yahitaji
Bora u bargain na intermilan kutuachia mauro iCard na Lukaku si dybala
Mkuu mimi mwenyewe simuhitaji Dybala ila napinga wanaosema Mata amemuacha mbali Dybala..
Fernandez ndo chaguo langu..then tunahitaji pure replacement ya Lukaku
Chrismalling na mwenzie jones.( the distruction brothers..) wasepe wote. Hata ikiwezekana watolewe bure