Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bruno will Be Lads Soon , Huyo Dybala bora asije tu.

Wote wa muhimu sana kwa mfumo wa solskjaer lingard anakuwa mbele ya pogba huoni kama tunapoteza hapo? Lingard atakwenda bench nafas yake anakaa dybala lakin KAMA dili likiwa sawa

Pia kumbuka herrera kasepa ukimchukua bruno tu means kikos sio kipana bado
 
Narudia tena huyo Dybala hana uwezo wa kumuwekA Bench mata kucheza namba 10 EPL.. Narudia tena EPL .. Narudia Tena EPL
 
Kwa sasa ivi spurs ndio timu ya kushabikia tu kwa mipango yao mizuri na makini
MAN U KOMAENI TOTENHAM ANATAKA AWAHARIBIE ,

Kwakweli siwapendi Totenham


BREAKING: Tottenham in talks with Sporting Lisbon over the signing of Bruno Fernandes, according to Sky SourcesView attachment 1169672
 
Kuna habari kwamba Juve wanataka kutupa pia Mario Mandzukic. Sijui kama ni za kweli.
 
Joao Felix's first three games in an Atletico Madrid shirt:

[emoji460][emoji460] Two Goals
[emoji460][emoji460][emoji460] Three assists

[emoji106] Not bad!View attachment 1170093
"He's overrated and overpriced" -They said. United mafala huyu dogo walikuwa na tetesi nae wakaona dau kubwa Atletico kacheza kamari ambayo anaenda kutusua siku sio nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…