Ole ameshafeli tangu hapo.Habari ya Bruno nayo imezikwa na dyabala!
Napata picha kama tunasajili kibiashara zaidi ndio maana jamaa wanatuweka gizani huku wakiandaa igizo jingine la kupiga piano au gitaa kabisa ili Instagram ifulike likes na views.
Ole angekuwa si mwanasiasa,angekuwa anongelea ni kwa namna gani rashford kaimarika kiuchezaji (sio kiuchumi) ili tuweze kukubaliana naye kuwa hana haja ya lukaku au striker mwingine. Au ingizo la mason linaweza kuwa sababu ya yote haya huku akijificha kwenye kivuli cha sanchezi atarudi kama namba 9 machachari.
Hawa ndo Arsenal tunaowacheka kila siku.
Zile front 3 za Liverpool na Man City hatujawaweka.
Haya sasa, angalia front 3 yetu.
Hapo ndo utajua nani yupo serious...View attachment 1169661
Ole ameshafeli tangu hapo.
Msimu wa 7 huna winger ya kulia halafu una relax kabisa.
Wenzako wana foward wa kueleweka sisi tunajitutumua na kina Lingard..
Tatizo linaanzia kwa wamiliki na management.Hii timu inakufa polepole tena naamini mpaka pep akiondoka pale city atakua amefuta rasmi utawala wa hii timu pale epl
Ni shame kubwa sanaBreaking news!!!!From skysport
Spurs wameingia kwny kinyang'anyiro cha kumchukua BRUNO FERNANDEZ..
MY TAKE;Man u tukifanya uzembe tutamkosa huyu mtu..
Akienda spurs ni kwa sababu hatukumuitaji.MAN U KOMAENI TOTENHAM ANATAKA AWAHARIBIE ,
Kwakweli siwapendi Totenham
BREAKING: Tottenham in talks with Sporting Lisbon over the signing of Bruno Fernandes, according to Sky SourcesView attachment 1169672
Nimeanza kuamini maneno uliyosema.Man u haitamsajili Dyabala wala Bruno Fernandez
Woodward hana mpango wala uwezo wa kusajili mchezaji Mzuri namna hiyoNimeanza kuamini maneno uliyosema.
Heheh..wew Penison nini umeandika hicho!Mchezaji anacheza Portuguese club lakini taarifa yake ya usajili ya kusajiliwa na United intatokea Spain.
Bruno will Be Lads Soon , Huyo Dybala bora asije tu.Man u haitamsajili Dyabala wala Bruno Fernandez
Naomba hili dili la dyabala life tuu
Matatizo yetu ni CB, DM,CM na RW.
Hakuna hata sehemu moja huyu jamaa anafit. OLE kama anakipenda kibarua chake asiapprove huu usajili
Ni mara mia ubaki na lukaku, kuliko kuleta mchezaji usiyemuhitaji.
Yaleyale kama ya Sanchez
Hakuna kitu tutafanya msimu huu unaoanza kesho kutwa! Nothing!