Sungusunguu
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 1,280
- 998
Kwenda nyie amna timu zenuUpeo wako wa kupambanua na kuchakata mambo kwa kina ndipo ulipokomea hapo??..Hivi wewe kitunguu swaumu hujui kwamba Jamii forums ni jukwaa na chombo huru??..kwa nini umpangie mdau jukwaa la kutoa dukuduku lake la moyoni??..
Rubbish!.
Smart guy
Man united imepoteza mwelekeosifa ya klabu tajiri inayotaka kurudi kwenye ubora wake.
Rashford, Martial, Greenwood, Sanchez hawa wote hakuna hata mmoja anayekupa matumaini ya kufanya vizuri kwa mechi zote 38 za ligi kuu ukiongezea na mechi za michuano mengineo.
- itambakisha romelu lukaku huku ikiendelea na jitihada za kumtafutia wachezaji watakaompa huduma bora.
- itatoa cash kwa ajili ya usajili wa paul dyabala ili aongeze nguvu kwenye safu ya ushambuliaji na si kufanya dili la kubadilishana wachezaji
- kama humuhitaji romelu lukaku basi tafuta mshambuliaji mwengine mfano wa piatek kutoka ac milan, kufanya hivyo ndio utakuwa umeziba pengo lake.
msimu huu tunakwenda kudhalilika tena endapo tutafanya maamuzi ya kumuondoa romelu lukaku bila ya kutafuta mshambuliaji mwengine, hivi tunamuondoaje mwanadamu mwenye uhakika wa kutupa magoli 20 kwa msimu kwa kumtegemea rashford na sanchez?
tusidanganyane hawa vijana wetu akiwemo greenwood, tahit chong, gomez na wengineo hawatafikisha hata mechi 15 za kucheza msimu huu hivyo basi tulipaswa kuiongezea makali safu yetu ya ushambuliaji bila ya kumuondoa mchezaji yeyote muhimu.
tatizo jengine ninaloliona kwenye timu yetu ni lile la kuendelea kutegemea miujiza kupitia upande wetu wa kushoto, ok tumemsajili wan bissaka lakini jamaa uwezo wa kushambulia ni mdogo. Hata ukiangalia hao winga wetu wanaotokea upande wa kulia ndio wale wale tuliowazoea.
Si ajabu kushuhudia tena msimu huu tunamtumia diogo dalot nafasi ya winga wa kulia kana kwamba dirisha la usajili halijatufikia wakati kumbe tumelipuuzia utadhani tuna wachezaji mfano wa sterling, sane na mahrez.
tungelifanya jambo la maana sana kama tungelitafuta mshambuliaji machachari anayetumia mguu wa kushoto au yote miwili akawa ana cut inside kama wanavyofanya jamii ya wachezaji mfano wa arjen robben, mchezaji pekee ambaye nilimuona atatusaidia kuwa na safu ya ushambuliaji ilio na balance pande zote mbili ni kijana wa ivory coast anayeitwa nicolas pepe ambaye huenda akasajiliwa na arsenal muda wowote.
aubameyang + pepe + lacazette + mesut ozil + mkhitaryan + iwobi
akitokezea mwanadamu anahutubia mbele ya hadhara huku akijisifu ya kwamba manchester united ndio klabu ya pili kwa utajiri duniani basi mkatalie hata kama ni mzee wako haijalishi huna hoja za msingi za kiutetezi.
Ikifika december mashabiki watamgeuzia kocha kibao.sifa ya klabu tajiri inayotaka kurudi kwenye ubora wake.

Ikifika december mashabiki watamgeuzia kocha kibao.
Hii timu haipo serious hata kidogo.
Mchezaji kama Martial msimu wa tatu hayupo serious ila bado unamng'anga'ania.
Ndio maana nasema Pep ni moja ya makocha walio serious, hata ukiwa mtu wa majeruhi anakupiga chini moja kwa moja.
Sisi tunalea majeruhi kama Rojo msimu wa tatu, wachezaji wa hovyo kama Jones, Smalling, Young Lingard au Martial bado wapo kikosini msimu wa nne huu.
Halafu timu kubwa kama United inashangilia kuingia top 4 badala ya kuwaza ubingwa.
Ningekuwa kocha ningemuuza Martial na kumleta Dyabala. Lukaku asingeondoka. Lingard, Smalling, Jones wangeenda kwa mkopo na wasirudi tena.
sifa ya klabu tajiri inayotaka kurudi kwenye ubora wake.
Rashford, Martial, Greenwood, Sanchez hawa wote hakuna hata mmoja anayekupa matumaini ya kufanya vizuri kwa mechi zote 38 za ligi kuu ukiongezea na mechi za michuano mengineo.
- itambakisha romelu lukaku huku ikiendelea na jitihada za kumtafutia wachezaji watakaompa huduma bora.
- itatoa cash kwa ajili ya usajili wa paul dyabala ili aongeze nguvu kwenye safu ya ushambuliaji na si kufanya dili la kubadilishana wachezaji
- kama humuhitaji romelu lukaku basi tafuta mshambuliaji mwengine mfano wa piatek kutoka ac milan, kufanya hivyo ndio utakuwa umeziba pengo lake.
msimu huu tunakwenda kudhalilika tena endapo tutafanya maamuzi ya kumuondoa romelu lukaku bila ya kutafuta mshambuliaji mwengine, hivi tunamuondoaje mwanadamu mwenye uhakika wa kutupa magoli 20 kwa msimu kwa kumtegemea rashford na sanchez?
tusidanganyane hawa vijana wetu akiwemo greenwood, tahit chong, gomez na wengineo hawatafikisha hata mechi 15 za kucheza msimu huu hivyo basi tulipaswa kuiongezea makali safu yetu ya ushambuliaji bila ya kumuondoa mchezaji yeyote muhimu.
tatizo jengine ninaloliona kwenye timu yetu ni lile la kuendelea kutegemea miujiza kupitia upande wetu wa kushoto, ok tumemsajili wan bissaka lakini jamaa uwezo wa kushambulia ni mdogo. Hata ukiangalia hao winga wetu wanaotokea upande wa kulia ndio wale wale tuliowazoea.
Si ajabu kushuhudia tena msimu huu tunamtumia diogo dalot nafasi ya winga wa kulia kana kwamba dirisha la usajili halijatufikia wakati kumbe tumelipuuzia utadhani tuna wachezaji mfano wa sterling, sane na mahrez.
tungelifanya jambo la maana sana kama tungelitafuta mshambuliaji machachari anayetumia mguu wa kushoto au yote miwili akawa ana cut inside kama wanavyofanya jamii ya wachezaji mfano wa arjen robben, mchezaji pekee ambaye nilimuona atatusaidia kuwa na safu ya ushambuliaji ilio na balance pande zote mbili ni kijana wa ivory coast anayeitwa nicolas pepe ambaye huenda akasajiliwa na arsenal muda wowote.
aubameyang + pepe + lacazette + mesut ozil + mkhitaryan + iwobi
akitokezea mwanadamu anahutubia mbele ya hadhara huku akijisifu ya kwamba manchester united ndio klabu ya pili kwa utajiri duniani basi mkatalie hata kama ni mzee wako haijalishi huna hoja za msingi za kiutetezi.
Acha povu ,hasira za niniAcha ndio na utoke umu iv bila man u amuishi
Nenda jukwaa lako la arsenal
Utajiri upi?sifa ya klabu tajiri inayotaka kurudi kwenye ubora wake.

man utd wana utajiri wa maneno na si vitendo tofauti na wapinzani wake kama madrid na barcelonaUtajiri upi?
Weka takwimu hapa tuamini unachoongeaman utd wana utajiri wa maneno na si vitendo tofauti na wapinzani wake kama madrid na barcelona
Sidhani kama Dyabala alikuwa kwenye mipango ya Ole
Ww jamaa jukwaa lako limekushinda nn
Hata Juve watafaidika mkuu, in short ni win win situation,
Sisi tunabadili mfumo tunataka mtu wa kulink up play na Dybala ni perfect.
Juve nao wamebadili mfumo, majority ya Magoli ya Ronaldo msimu uliopita ni ya Vichwa, msimu uliopita Juve wamepiga cross zaidi ya 700, so timu inayopiga cross 20 Mpaka 30 kwa match moja kwa Lukaku ni Dodo limemdondokea mlangoni.
Takribani week umepita toka nisome article ya Manchester evening news walimquote ole akisema "Us Sanchez too can play there (number 9) because the way we play we don't need a 5th 6 inch players it's more about playing as a team"