Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kumuuza lukaku, utakuwa upuuzi wa karne. Huyo dybala italia tu kumemshinda, EPL ataiweza kweli.

Tatizo huwezi kuwa staa mbele ya Ronaldo mkuu, hata kipofu anaweza kuona kwamba form ya dybala ilianza kushuka baada ya Ronaldo kufika juventus pia dybala only 25yrs ana future kubwa sana hataki kupoteza mda kumtumikia Ronaldo pale juve
 
Kiukweli lukaku tunamuhitaji kwa sababu ya aina tu ya wachezaji waliopo kwenye kikosi yeye ana afadhali ila na yeye hastahili kuwepo kwenye timu
 
au uwezo mdogo bado hajakomaa
Ni CB ambaye amefanya vzr ,na wenye mchezaji wao waliweka mashart anayemtaka lazima amrudishe kwa mkopo, hutaki unaacha , maana msimu ujao watampiga bei kubwa €50-60m, kwasasa tumeambiwa tutoe €30m tu na abaki ,why usikubali mashart hayo? Maana ilishatokea kwa mbappe tukagoma, msimu unaofata bei yake ikawa Β£160m, pia kwa pepe awali ilikuwa Β£40m , Tukapuuzia ,Leo tunauziwa kwa Β£72m.

Kwa beki mwenye miaka 18 ambaye ameshaanza kutolewa macho ,ni heri kujilipua mapema,
 
Hawana beki Halafu wakasajili beki na kumrudisha kwa mkopo
Kwani sisi ndio tuna beki ??
Hata kama hawajasajili beki kumpata Ceballos na Pepe ni bonus kwao kwa budget yao msimu uliopita Arsenal walifunga magoli mengi kuliko United na walifungwa machache kuliko United so walituzidi ushambuliaji na ulinzi.Bailly tayari ameumia usije kushangaa kina Shaw,Lindelof wanapata majeruhi defence wakacheza Young,Jones,Smalling
 
Lukaku is better striker than Martial statistics never lie ,kwa misimu 4 iliyopita Lukaku amefunga magoli 93 Martial amefunga magoli 48 timu ya taifa Lukaku amefunga magoli 48 Martial kafunga goli 1
 
Lukaku is better striker than Martial statistics never lie ,kwa misimu 4 iliyopita Lukaku amefunga magoli 93 Martial amefunga magoli 48 timu ya taifa Lukaku amefunga magoli 48 Martial kafunga goli 1
"Numbers don't lie"..
 
martial anakosa attitutude, attitude, attitude
huu wimbo umeshatolewa remix mara ngapi?
style ya uchezaji ya antony martial ndio ile ile na haitobadilika hata kama atakuja diego simeone.
ndio maana makocha wanaojielewa wanamweka benchi kuanzia timu ya taifa hadi man united
skills bila ya bidii ni sawa sawa na mwanamke mwenye umbile zuri aliyekosa maarifa​
 
Watu wanakuambia eti Martial ni lethal kumshinda Lukaku

Huku akiwa na goli 48 kwa misimu mitatu
 
Zimebaki siku Kama 10 tu soon ukweli utajulikana.
hawa watu wawili waliovaa suti pichani natamani yule malaika mtoa roho azichukue nafsi zao muda wowote kuanzia sasa
Matt Judge is the club's de facto chief negotiator and Ed Woodward's trusted right-hand man.

siku 10 real madrid wana uwezo wa kuwasajili wachezaji watatu kutoka timu kubwa sijui kama kiupande wetu sisi inawezekana
 
Kwa mahesabu ya haraka haraka Toka redio kijiweni
Pogba 150+ Lukaku 70 + 100m ya usajili ni 320m
AWB 50, James 15, Maguire 70, bf 70 sms 65,

Kuna Kama 50M hivi wataibakisha kumfurahisha Glazzer.
 
Kwa mahesabu ya haraka haraka Toka redio kijiweni
Pogba 150+ Lukaku 70 + 100m ya usajili ni 320m
AWB 50, James 15, Maguire 70, bf 70 sms 65,

Kuna Kama 50M hivi wataibakisha kumfurahisha Glazzer.
hii redio kijiweni inapaswa ipigwe mawe mpaka yule mtoaji repoti ndani ya spika akimbie.

hiyo pesa ya sms ni bora nusu yake niwape atletico madrid kwa ajili ya mwenda wazimu diego costaπŸ˜›πŸ˜›.
halafu kilichobakia niwape leicester city kwa ajili ya wilfred ndidi.

then hela ya mauzo ya lukaku apewe yule mjinga aliyekopa fedha benki kwa jina la manchester united apate kulipa deni lake.😎😎
mkuu umeoiona project ya everton?
 
Nimeiona mkuu, sisi Kuna tetesi Old Trafford kukarabatiwa Toka kipindi Cha Fergie Hadi leo hatujaanza huo ukarabati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…