OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Hahaha asa ujinga gani mkuu, unadhani kufanya vizuri pre season ndo itakuwa ivyo kweny post season? Ninyi tunajua huwa mnaanza vizuri mutashinda mechi kama saba au nane ivi halafu baada ya hapo ni vipigo..Hivi ni lini Ollachuga Oc utaacha ujinga??
Hahahahahahahahah........Naandaa nguvu za kukesha jukwaa lao Hahahahahahahahah Aisee.Hahaaaaa huyu bwana anajua kabisa hawana forward wala hazard msimu huu,lakin kutwa anadanga kila jukwaa, EPL imekaribia naandaa nguvu za kukesha jukwaa lao
Sasa mkuu chelsea ambayo straiker wake ni Tommy Abraham nayo itatusumbua kweli??Hahaha asa ujinga gani mkuu, unadhani kufanya vizuri pre season ndo itakuwa ivyo kweny post season? Ninyi tunajua huwa mnaanza vizuri mutashinda mechi kama saba au nane ivi halafu baada ya hapo ni vipigo..
Acha kuongea ushuzi, emery kaongea wapi,Wewe kocha wako keshasema kabisa msitarajie lolote msimu huu mpya. Sio top four, sio kombe ..sasa wewe uko uku tandale kwa tumbo unajipa moyo utafanya vizuri, Ohoo jiandae kisaikolojia bro. Arsenal ikiingia top ten msimu huu basi nu kwa rehema za Mungu tu..
Mimi nabet kabisa huu msimu watapata tabu sana, nimeshaandaa kabisa kifurushi cha mwaka kwa ajiri kukesha jukwaa lao ,maana ana kelele sana anasahau hazard aliyekuwa anawaokoa hayupo, straiker jirud na abrahamu, winger zao ni deadwood ,Sasa mkuu chelsea ambayo straiker wake ni Tommy Abraham nayo itatusumbua kweli??
Uko busy sana kupambana na timu za watu kuliko unavyoizungumzia timu yako kwenye uzi wenu ule
Unapochambua soka la ulaya usilihusishe na Vodacom PL...
Mbona Ajax amebeba kombe na hao hao Youngsters?
Mbona Ajax ametunyanyasa kweli kweli kwenye Uefa na hao hao Youngsters?
Nauliza tu
lakini chief unaweza kuwa na umri mkubwa lakini ukawa na maarifa madogo hivyo hivyo unaweza kuwa na umri mdogo lakini ukawa na maarifa makubwa sana.
rooney amekuja man utd mwaka 2004 akiwa na miaka 19
ronaldo amekuja man utd mwaka 2003 akiwa na miaka 18
mpaka mwaka 2007/08 wote kwa pamoja walikuwa na umri wa miaka 22 hadi 24, hivyo basi inawezekana walikuwa bado na umri mdogo lakini walikuwa tayari wana uzoefu mkubwa sana wa kucheza mashindano makubwa na hili limechangiwa zaidi na viwango vyao vya kiuchezaji.
rooney, tevez, ronaldo, nani, anderson, vidic, evra walikuwa ni vijana kiumri lakini walikuwa ni wazee tukiangalia uwezo wao wa kucheza soka.
rashford ni kijana kiumri lakini pia ni kijana kiuwezo wake wa soka, umri huu wa rashford nyakati zile michael owen ameshaanza kutishia ulimwengu wa soka
kabla ya umri huu wa rashford, wayne rooney anawafunga arsenal akiwa na miaka 16 na miaka miwili baadae anasajiliwa kwa paundi millioni 24 na bwana fergie.
bila ya kusahau umri huu wa rashford bwana xavi hernandez hakuwa mchezaji anayetajika sana ukilinganisha na umri wake wa miaka 28.
Age is a case of mind over matter. If you don't mind, it don't matter
Ni nyie mashabik tu,mm huwa nawashangaa mnaomponda huyu jamaa, wenye jicho la 3 wanaelewa umuhimu wake,kama unata kuamini ,aondoke halafu mbak na martial lingard na rashford muone mtakavyokuwa baadh ya mech hampat hata goliHuyu Jamaa yuko underrated sana... Ila naona kuna team zimeshaona uwezo wake ..View attachment 1163980
Leo kala 7-3Madrid hii hii iliomfukuza Makelele kisa sio handsome? Na kuforce Beckham na Figo wacheze pamoja na Beck akiwa Kama Midfield wa Kati? Wakakaa miaka n miaka bila makombe?
Hayo makombe waliochukua karibuni sio sababu ya kuforce Bali ni uwezo binafsi wa Ronaldo, subiri msimu huu uone na usajili wao watafanya nini.
Huyu jamaa ni namba tisa wa uhakika, duniani hawa bidhaa kwa sasa ni adhimu. Unaweza ona Madrid hamwachii Benzema ingawaje hana makeke sana kwenye macho yetu, Brazil wameng'ang'ana na Firmino ingawaje so kivile national team kwenye macho yetu.Huyu Jamaa yuko underrated sana... Ila naona kuna team zimeshaona uwezo wake ..View attachment 1163980
Ila bhana aisee, Atletico ile timu wanakimbiza hatari, inabidi wapimwe, wana energy na stamina si ya kitotoLeo kala 7-3
Hii timu sio uwezo wa zidane, hii timu ilikuwa inabebwa na uwezo binafsi wa CR7
Lukaku ni trashHuyu Jamaa yuko underrated sana... Ila naona kuna team zimeshaona uwezo wake ..View attachment 1163980
Madrid wamesajir ovyo kuliko wenzao Atletico , maana yule Mendy amekuja kum replace Marcelo ,lakin cha ajabu inatakiwa apiganie namba kwa marceloIla bhana aisee, Atletico ile timu wanakimbiza hatari, inabidi wapimwe, wana energy na stamina si ya kitoto
Nilijua "Majinun" kama wewe huwezi kuacha kuja kumponda Lukaku bila factsLukaku ni trash
Trash??!!!...acheni hizo bhanaLukaku ni trash
Nilijua "Majinun" kama wewe huwezi kuacha kuja kumponda Lukaku bila facts
Huyu nae auzwe tu ni injury prone sana. Atakuja kutugharimu sehemu muhimuBailly karudi kaumia tena