Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa washabiki wa Man utd... kwa hii lineup ya leo inaonesha kuwa RvP ni bora kuliko ROO na Welbeck.... Je mnakubaliana nae???
 
Kwa washabiki wa Man utd... kwa hii lineup ya leo inaonesha kuwa RvP ni bora kuliko ROO na Welbeck.... Je mnakubaliana nae???

Hapana mipango tu hiyo. Pia inaonyesha how healthier is our forward line.
 
Anderson hata kama kazidiwa sio kiivo... Hivi kapewa hata Yellow???
 
Hapana mipango tu hiyo. Pia inaonyesha how healthier is our forward line.

Ok... So kukiwa na Mipango unaweza anzisha kizuri na kuacha kizuri zaidi nje??? au mie ndo sijakuelewa kaka!!!!
 
Chief hilo swali anaweza kujibu SAF mwenyewe.

Najua kuwa SAF ndo ajue zaidi ila wewe kama ndugu yangu NZI unaonaje?? Ndiyo maana nililenga washabiki/ Wapenzi wa Man Utd
 
Najua kuwa SAF ndo ajue zaidi ila wewe kama ndugu yangu NZI unaonaje?? Ndiyo maana nililenga washabiki/ Wapenzi wa Man Utd

RvP ni mchezaji mzuri kwa aina yake ya uchezaji -mmaliziaji. Lakini Wazza ni mzuri zaidi ya RvP kutokana na kuwa na attributes nyingi za mshambuliaji - ana nguvu,ari ya uchezaji,anatumia miguu yote na mpambanaji.

Lakini pengine katika mipango ya SAF kwa leo,RvP amefit kuliko Wazza.
 
Chief Questt, si umeona mipango ya SAF? Sasa anatumia 3 strikers!

Hapo tutasemaje tena?!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…