Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Longstaff mzuri sana tu wakuu kama Bruno inashindikana basi tumsajili huyu kijana......
Bora mctominay. Longstaff ni wale ovarated british kids.. kundi lao moja na kina lingard amaba wanasifiwa lakin hawajui lolote uwanjani.
 
Umechambua vizur moreta. Ila hapo kwa longstaff ni mapema sana kumpa majukum na vile bado ni kinda. Yes ni wachezaj wa aina mbili tofauti... laki. Ni bora mctominay anayeweza kunyumbulika. Na vile man u kwa sasa ina shida ya DM sababu herera hayupo. Basi itafaa sana
 
Eti VVD watatu na Bissaka 7 Hahahahahaha mkuu unaandika kwa mihemko siangekuwa yupo Madrid huko au Barcelona Kama angekuwa bora kiasi hicho.... Sasa Azp amemzidi nini VVD
sasa mkuu unataka kuniambia Bissaka anamzid Azplikweta? utakuwa unaleta unazi mkuu, uyo VVD ni msimu tu ulimuendea vizuri sio kwamba ni beki wa kutisha sana. Azp ni level ingine mkuu, halafu kucheza Barca au Madirid ndo bora zaid acha kuishi kwa kukariri mkuu.
 
Wewe Ollachuga wewe babaangu wewe
unaona hizi fans za manure znamfanisha uyo Bissaka na 'The wall himself Azplicueta' wakati VVD mwenyewe anaelewa kabisa mziki wa Azp.hahahaha hizi fan boys za manure zimeanza kudata..
 
Jamaa hata mimi sijamwelewa, yaani kuw bora lazima awe Madrid au Barcelona?
 
Leo nimefuatilia you tube highlits za pre season ya team yetu.nilichokiona ni kwamba.
1 man u ya sasa na ya msimu uliopita ni ile ile.

2 tofauti iliyopo ni kwamba ndani ya kikosi kuna Daniel James na Wana Bissaka.

3 Pogba mtoa maboko ni yule yule tu hivyo tutegemee maboko mengi zaidi msimu.

4 msimu ujao tutapokea vipigo vingi kuwahi kutokea.

5 goli la Phil Jones huenda likasababisha Maguire asisajiliwe.

6 Rashford na Martial walishakamilisha ndoto zao hivyo hawana haja ya kupambana tena.
Wapambanie nini wakati wako kwenye kilele cha mafanikio ?

7 Top six wa msimu uliopita wote watatufunga msimu ujao nje ndani .

Tujiandae kisaikolojia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…