Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wenyewe hamjambojambo humu? Vipi yule VP ataanza kulipa leo au ataendelea kudoda? Nasikia SAF kishaweka mkwara wa nguvu kwamba kama haridhiki na uchezaji wake basi VP atacheza kwa benchi.
 
Wenyewe hamjambojambo humu? Vipi yule VP ataanza kulipa leo au ataendelea kudoda? Nasikia SAF kishaweka mkwara wa nguvu kwamba kama haridhiki na uchezaji wake basi VP atacheza kwa benchi.

Hahah...una uchokozi wewe..leo wanaenda kufungwa na nani kwani??!
 
Unawajua Magpies wewe??? Ni Newcastle kama sikosei siyo hao waliowavuruga jana, poleni sana.

Huyo alimaanisha kuwataja the toffies (everton)....hahahahah...na bado kuchanganyikiwa. Maana hata hao magpies watawagonga tu....
 
Watani zangu hawa lol! wanakipiga na Fulham baadaye leo...Na wale Fulham wanatisha...wiki iliyopita walimchapa mtu 5-0 lakini mara nyingi mcheza kwao hutuzwa

Hahah...una uchokozi wewe..leo wanaenda kufungwa na nani kwani??!
 
Carrick ni defensive midfielder bt alicheza centre back juzi.. Yeye na scholes wangekua kati ingesaidia afu kagawa acheze mbele yao young kulia rooney kushoto RVP kati hapo formation ni 4-2-3-1
 
Watani zangu hawa lol! wanakipiga na Fulham baadaye leo...Na wale Fulham wanatisha...wiki iliyopita walimchapa mtu 5-0 lakini mara nyingi mcheza kwao hutuzwa

Unamaanisha mcheza kwao hutuzwa PENATI . Maana Ashley Young = Dive = Penalty Kick awarded.
 
Carrick ni defensive midfielder bt alicheza centre back juzi.. Yeye na scholes wangekua kati ingesaidia afu kagawa acheze mbele yao young kulia rooney kushoto RVP kati hapo formation ni 4-2-3-1

Kila mtu anajua Carrick ni DM lakini kiwango kimeshuka. Anatepeta akikutana na viungo wazuri, kama hujaona hilo msimu ndo kwa unaanza utashuhudia mwenyewe.
 
chukueni kiungo yoyte toka spain eg xabi prieto,munian,jesus navas gonzalez nk, aseno kina santi cazorla gonzalez na mikel arteta almatrian wanasaidia chama kidogo hata pengo la kina song,nasri,cesc,clichy na rvp wanaanza kuwasahau japo inahitaji muda kwao kukomaa sio leo
 
Hahahahahahaaaaaaa.......Haya bana,,,, Cha kwanza tayariiii
 
... SAF anataka kuanza kuona pesa yake inalipa haraka sana...hii game itakuwa bomba sana kama Fulham nao wataamua kushambulia maana MANU watakuwa kama nyuki leo.

Kamuanzisha RvP anacheza mbele ya Rooney....Ngoja tuone itagua vipi hapa....
 
"Hapa OT... huwa hatoki mtu... Japo haitakua Clean sheet ila itakua Ushindi tuu..."

Kuna Mshikaji wangu ndo kanipa hii Statement hapa!!!! ila hana amani.... mie nampa moyo lakini.....
 
... SAF anataka kuanza kuona pesa yake inalipa haraka sana...hii game itakuwa bomba sana kama Fulham nao wataamua kushambulia maana MANU watakuwa kama nyuki leo.

So far NZI tu kaka,,,, Bubu vp???
 
Ebwana eeee.... RvP ni soo aseee... Umeona hiyo kitu????? Siipendi Man Utd ila Goli kali asee
 
nimeamini mchezaji yoyote wa goners akienda manure lazima awe 1st 11
 
Rooney Roho itakua inamuuma sana..... Hata waingereza kwa ujumla.. 4ward line yao ipo nje.... Welberk na Rooney!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…