Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Vijana ni wazuri lakini havina nguvu. Huwa sijui kwa nini Pereira huwa hatumtajitaji, binafsi huwa ana ni -impress
Mbona msimu uliopita amecheza cheza..au unataka aingie first eleven direct??
 
Vijana ni wazuri lakini havina nguvu. Huwa sijui kwa nini Pereira huwa hatumtajitaji, binafsi huwa ana ni -impress
Tatizo la Pereira ni kuendelea kukiishi kipindi cha utoto wake katika utu uzima wake.

Tatizo jingine bado yuko honeymoon ya kupewa permanent contract pale OT badala ya kuonyesha kwanini anastahili kuwa pale.
 
Mbona msimu uliopita amecheza cheza..au unataka aingie first eleven direct??
Kwa kikosi chetu kilivyo, Pereira anaweza kuwa regular player. Labda coaches wanajua madhaifu yake ambayo sisi laymen hatuwezi jua.
 
Ole ameweka siasa nyingi kwenye majibu. Angekuwa Morinho asingeweka siasa nyingi.
 
Huwezi kuwa huna managerial skills then ufundishe 6 top club in Europe
Mkuu jamaa alikuwa anazungumzia some of characteristics, maana kupayuka hadharani sio character ya manager bora people complain in the closed doors not in public Kama alivyokuwa anafanya Mou
 
Sema Gomez kako fresh,ila umbo sasa..
Gomes yuko vizuri, hapotezi pass kabisa
Anapiga tackles na interception kama kawaida.

Inatakiwa wamuongezee mkataba fasta, wakichelewa ataondoka kama pogba alivyoondoka.
 
Labda niseme alikuwa anapungukiwa, ndiyo maana alikuwa anasigana sana na wachezaji, viongozi wenzake na media
Hakuna kocha ambaye hagombani na wachezaji/viongozi (its human nature) I think problem ya Mourinho ilikuwa ni kuongea ukweli hadharani.Zizou amegombana na James,Ceballos,Bale but nobody said hana managerial skills how many players SAF aligombana nao na akahakikisha anawaondoa kabisa (Becks alitolewa ngeu kabisa)
 
ila Mourinho alizidisha huo ukweli na kuonekana yeye ndio tatizo kwenye timu na alipoondoka hali ilikuwa shwari, hapa siongelei Manchester.
Zidane hana tatizo na hao uliyowataja, Zidane alisema "hawapo katika mipango yake" kama kocha akisema hivi ndo kugombana kwenyewe basi makocha wote ulimwenguni wanamatatizo ukiondoa ile human nature, maana hata Zahera alisema Ajibu na Kakolanya hawapo katika mipango yake, same kwa Klopp na Moreno, Pep kwa Toure, Unai kwa Ozil, Pochettino kwa Rose.
mabifu ya SAF ilikuwa kwa ajili ya kutetea klabu (yani heshima ya klabu kwanza) na sio personal issues, yani Manchester + SAF against player na sio SAF against player.
 
So kuongea ukweli, Mou ni aina ya watu au viongozi wenye kasumba za kupenda kutoa lawama kwa wengine kufuatia madhaifu au failures zao. Sometimes you need to admit your weaknesses.

Kutokujua namna bora na mukhutadha upi useme kitu gani, ni ukosefu au upungufu wa weledi na ukomavu kiuongozi. Fergie wa smart in public speaking and in case of failures
 
Pamoja na mfumo, mm bado naamini Lukaku ni zaidi ya Rashfold au Martial. Km anauzwa itakuwa si uamuzi sahihi
Ni zaidi yao kwenye mfumo wake, muekee lukaku mawinga watie cross atafunga,

Ila mfumo wa ole unataka mastriker wote wawe comfortable na Mpira, kitu ambacho Lukaku hawezi, ile first touch yake tu inamfanya asifit.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…