Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,563
- 21,517
Haya pia ni maajabu mtu hujaAngalia game ila unamponda Pogba .. Bongo nyoso..Martial anatakiwa kuongeza bidii mnoo, sio leo wala jana hichi kitu kmeonekana kwa martial.
Greenwood naona aanze kama RW msimu ujao kama tusipopata mtu.
Pogba kiukwel ni mchezaj mzur sana hakuna anaebisha hili nadhan kila mtu anajua, kinachomuangusha ni attitude na mentality yake tu bas, akiamua kua serious na kupambana vilvyo jamaa ni bonge la player kiukwel.
All in all mm sjachek game lakn assesment yako nimeielewa mkuu, japo sjaona comments za DJ na AWB apo

Haya pia ni maajabu mtu hujaAngalia game ila unamponda Pogba .. Bongo nyoso..
Doing what?Ni wachezaji muhimu sana inside the locker room
HahaaaaaaaaaaHaya pia ni maajabu mtu hujaAngalia game ila unamponda Pogba .. Bongo nyoso..
Dj na AWB wameperform vizur sn mkuu..Martial anatakiwa kuongeza bidii mnoo, sio leo wala jana hichi kitu kmeonekana kwa martial.
Greenwood naona aanze kama RW msimu ujao kama tusipopata mtu.
Pogba kiukwel ni mchezaj mzur sana hakuna anaebisha hili nadhan kila mtu anajua, kinachomuangusha ni attitude na mentality yake tu bas, akiamua kua serious na kupambana vilvyo jamaa ni bonge la player kiukwel.
All in all mm sjachek game lakn assesment yako nimeielewa mkuu, japo sjaona comments za DJ na AWB apo
Kama kipimo chako ni mechi ya leo basi unakosea.Wakuu tumelamba dume kwa DANIEL JAMES na BISSAKA..
Mechi Moja tu ? Tena wanacheza na timu ya mchangani tu ?Wakuu tumelamba dume kwa DANIEL JAMES na BISSAKA..
Uyo jemsi atakuwa kama Fred Bissaka ni pata potea tu ..Wakuu tumelamba dume kwa DANIEL JAMES na BISSAKA..
Mkuu hauna kitu pale James atilisti ila Si mchezaji wa kuleta matumaini mapya kweny clabu yetu, Bissaka ndo kabisa tumelamba garassa mkuu, back passes nying, na zisizofika..Walioangalia mechi Daniel James na Wan-Bissaka vipi??
Mechi Moja tu ? Tena wanacheza na timu ya mchangani tu ?
Mkuu uliangalia mechi?Mkuu hauna kitu pale James atilisti ila Si mchezaji wa kuleta matumaini mapya kweny clabu yetu, Bissaka ndo kabisa tumelamba garassa mkuu, back passes nying, na zisizofika..
Man of the matchWalioangalia mechi Daniel James na Wan-Bissaka vipi??
Mkuu gemu zote huwa nacheki, Bissaka bado sana ..ngja tuone hii preseason atafanya niniMkuu uliangalia mechi?
Hahaha EPL siyo league ya kutegemea watoto. Tunahitaji wanaume watatu au wanne hivi kuimarisha team.tukiwapata maguire na bruno wanatosha sana mbele tunatalent za madogo kina grenwood tuwaamini tu wakisaidiana na kina rashford tutatoboa tu