severinembena
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 2,435
- 2,402
Kuna tetesi zinaendelea kwamba agent kiungo Savic Wa Lazio anafanya mazungumzo na Man U. So kama angepatikana BF + Savic ingekuwa Bonge la usajiliPogba angepigwa bei mapema maana mimi naona hata akibaki msimi ujao atacheza kwa kujisikia tu...
Daka Bruno Fernandez,then tafuta decent holding midfielder..kazi kwisha
Hatuwezi kuwa na wachezaji ambao akili zao zipo valuvalu...
Yeah man..kumkumbatia huyu kirusi ni upumbavu wa hali ya juuKuna tetesi zinaendelea kwamba agent kiungo Savic Wa Lazio anafanya mazungumzo na Man U. So kama angepatikana BF + Savic ingekuwa Bonge la usajili
Ni nyuma ya pazia ile Man U wwtamuuza Pogba hata Riola asingesema kitu. Wwnachojaribu kufanya ni kutengeneza hardship situations ili wamuuze kwa hela nzuri zaidi. Pia kuna mdau humu alitoa point ya msingi sana kwamba Man U wanachelewesha makusudi kumuuza jamaa ili wahakikishe wamenunua replacement za jamaa kwa bei isiyo ya kukomoana sana kisha ndo waje wamuuze ili wasikamiwe sokoni kutokana na mauzo ya huyo VirusHahahahahahahahah.........Ni aibu sana kung'ang'ania mchezaji ambaye hana Consistently, He don't play for badge, Mchezaji mvivu ,Altitude mbovu,Endeleeni kujenga ya kumzunguka yeye tu hamna namna.
HII TIMU IMESHAJICHOKEA TOKEA NYAKATI ZA MWISHO ZA FERGUSON.
usajili wa ndombele na ikitokezea kukamilika kwa usajili wa giovani le celso ndio kutazidisha utofauti wa vikosi kati yetu na totteham hotpurs.
- liverpool / man city
- liverpool / tottenham / man city
- tottenham hotspurs
- chelsea / arsenal / man utd
usajili wa daniel james pamoja na wan bissaka haujaleta athari yoyote kwa wapinzani wetu.
naruhusu mjadala
Mkuu unadhani Antonio Gree anaeza kuja apo OT? yani aje acheze Europa kabisa?
Hapa umeongea bossTunahitaji kusajili
Kwa sasa kipaumbele inabidi awe beki wa kati (Maguire). Kwa mabeki wa kati waliopo sokoni kwangu mimi huyo yupo nyuma ya Koulibally tu. Yupo juu ya Umtiti. Pia yupo juu ya De Legt, ambaye bado hatujajua kama anaweza kustahimili mikiki ya EPL. Lakini kubwa zaidi De Legt ni mchezaji wa Raiola moja kati ya mawakala grid sana. Mfano akija United sitashangaa akicheza vizuri mwakani Raiola akamtafutia timu nyingine. De Legt na Umtiti wote hawana pace, na hiyo ni kasoro pekee aliyonayo Harry Maguire. After all hata akina VVD hawana pace.
Kipaumbele kingine inabidi kiwe viungo watatu wa kati ambapo tukimpata BF, Lo Celso/Mdison/Ericksen na defensive mid yoyote mwenye roho mbaya. Pogba anapaswa kwenda, na kiukweli siku akiondoka nitafurahi kuliko siku aliyoondoka David Moyes
Usajili wa winger wa kulia ni muhimu, lakini tukisubiri kwa sababu za kibajeti sitahuzunika sana. Lakini tungempata Nicolas Pepe ningefurahi sana.
Big Rom tunaweza kumuuza kwa kuwa pale hakubaliki (OGS na mashabiki), na yeye ameshaweka akili na moyo wake Inter Millan. Lakini akiondoka Rom lazima tutafute foward wa maana na sio tumtegemee Rashid Fuoni. Walahi itakula kwetu.
Usajili wa Wana Bissaka na Daniel James si wa kuubeza mkuu. AWB atasaidia kubadili kabisa defence yetu, TRUST me, japo huwa simkubali sana kwenda mbele. DJ ni habari nyingine kaka, apewe muda, ila dogo ni mzuri sana especially kwenye counter attack na ku track adui. Pia ni mpiga krosi mzuri tena kwa miguu yote.
Kipaumbele kwa sasa kiwe beki wa kati na Mid 3. Winger wa kulia n.k tunaweza nunua msimu ujao
Mkuu ni kitu gani kinakupa wasiwasi kumhusu huyu Daniel James??HII TIMU IMESHAJICHOKEA TOKEA NYAKATI ZA MWISHO ZA FERGUSON.
usajili wa ndombele na ikitokezea kukamilika kwa usajili wa giovani le celso ndio kutazidisha utofauti wa vikosi kati yetu na totteham hotpurs.
- liverpool / man city
- liverpool / tottenham / man city
- tottenham hotspurs
- chelsea / arsenal / man utd
usajili wa daniel james pamoja na wan bissaka haujaleta athari yoyote kwa wapinzani wetu.
naruhusu mjadala
Grienzmann ameflop? Grienzmann anakupigiaga goli 18+++ za La Liga kwa msimu yaani almost level ya NeymarHata hivyo kesha flop
Rashford na Martial hapa Martial ana uafadhali maana licha ya kuwa Wide Forward ila huwa anamzidi Rashford magoliHuyo martial mwenyewe Mungu ndio anajua. Hii timu ikiendelea hivi kuna kipindi itapoteana hadi itabaki historia
Daniel James anakuja kuwa bonge la ForwardHII TIMU IMESHAJICHOKEA TOKEA NYAKATI ZA MWISHO ZA FERGUSON.
usajili wa ndombele na ikitokezea kukamilika kwa usajili wa giovani le celso ndio kutazidisha utofauti wa vikosi kati yetu na totteham hotpurs.
- liverpool / man city
- liverpool / tottenham / man city
- tottenham hotspurs
- chelsea / arsenal / man utd
usajili wa daniel james pamoja na wan bissaka haujaleta athari yoyote kwa wapinzani wetu.
naruhusu mjadala
Bado mkuu AG ni mzuri sana bado, akija Man United apo anaeza akapoteana kabisa.Hata hivyo kesha flop
Idea nzuri lakini ni ngumu kusajiri hao woteTunahitaji kusajili
Kwa sasa kipaumbele inabidi awe beki wa kati (Maguire). Kwa mabeki wa kati waliopo sokoni kwangu mimi huyo yupo nyuma ya Koulibally tu. Yupo juu ya Umtiti. Pia yupo juu ya De Legt, ambaye bado hatujajua kama anaweza kustahimili mikiki ya EPL. Lakini kubwa zaidi De Legt ni mchezaji wa Raiola moja kati ya mawakala grid sana. Mfano akija United sitashangaa akicheza vizuri mwakani Raiola akamtafutia timu nyingine. De Legt na Umtiti wote hawana pace, na hiyo ni kasoro pekee aliyonayo Harry Maguire. After all hata akina VVD hawana pace.
Kipaumbele kingine inabidi kiwe viungo watatu wa kati ambapo tukimpata BF, Lo Celso/Mdison/Ericksen na defensive mid yoyote mwenye roho mbaya. Pogba anapaswa kwenda, na kiukweli siku akiondoka nitafurahi kuliko siku aliyoondoka David Moyes
Usajili wa winger wa kulia ni muhimu, lakini tukisubiri kwa sababu za kibajeti sitahuzunika sana. Lakini tungempata Nicolas Pepe ningefurahi sana.
Big Rom tunaweza kumuuza kwa kuwa pale hakubaliki (OGS na mashabiki), na yeye ameshaweka akili na moyo wake Inter Millan. Lakini akiondoka Rom lazima tutafute foward wa maana na sio tumtegemee Rashid Fuoni. Walahi itakula kwetu.
Usajili wa Wana Bissaka na Daniel James si wa kuubeza mkuu. AWB atasaidia kubadili kabisa defence yetu, TRUST me, japo huwa simkubali sana kwenda mbele. DJ ni habari nyingine kaka, apewe muda, ila dogo ni mzuri sana especially kwenye counter attack na ku track adui. Pia ni mpiga krosi mzuri tena kwa miguu yote.
Kipaumbele kwa sasa kiwe beki wa kati na Mid 3. Winger wa kulia n.k tunaweza nunua msimu ujao
Mkuu ni kitu gani kinakupa wasiwasi kumhusu huyu Daniel James??
simchukii daniel james kwa asili yake alipozaliwa bali ni kwa kiwango chake cha wastani alichonacho kinachongezwa udambwi udambwi na media za kiingereza wakiongozwa na legend ryan giggs, binadamu tunatofautiana sana kiuelewa inawezekana wenzangu mumenizidi mno hivyo basi pengine mtazamo wangu juu ya daniel james ni dhaifu.Usajili wa Wana Bissaka na Daniel James si wa kuubeza mkuu. AWB atasaidia kubadili kabisa defence yetu, TRUST me, japo huwa simkubali sana kwenda mbele. DJ ni habari nyingine kaka, apewe muda, ila dogo ni mzuri sana especially kwenye counter attack na ku track adui. Pia ni mpiga krosi mzuri tena kwa miguu yote.
simchukii daniel james kwa asili yake alipozaliwa bali ni kwa kiwango chake cha wastani alichonacho kinachongezwa udambwi udambwi na media za kiingereza wakiongozwa na legend ryan giggs, binadamu tunatofautiana sana kiuelewa inawezekana wenzangu mumenizidi mno hivyo basi pengine mtazamo wangu juu ya daniel james ni dhaifu.
kwa mujibu wa situation ilivyo ndani ya manchester united uwezekano wa kusajili winga mpya haupo hivyo basi tunakwenda kumbebesha majukumu mazito huyu bwana mdogo haliyakuwa huko anakotoka hakuwa fundi kama neymar yule wa santos au frank ribery yule wa olympique marseille na uthibitisho wa hilo ni hizo takwimu zake na video zake kwa wale ambao hatujawahi kumuona dakika 90 zinatuonyesha ni mchezaji wa aina gani kwa kutumia macho yetu dhaifu.
kwangu mimi namuona daniel james ni species ile ile iliotuzalishia wright phillips, theo walcott na oxlade chamberlain (wazee wa harakati nyingi kama pimbi). klabu ilipaswa kwanza itafute winga ambaye ameshauthibitishia ulimwengu kiubora ndipo baadae tumtumie daniel james kama ni nyongeza kwenye kikosi kama ilivyo manchester city wanavyomtumia phil foden au liverpool wanavyomtumia shaqiri.
kama daniel james ataniaibisha mbele ya jamii kwa kuonyesha kiwango bora basi tutakuwa tumeramba dume na nitakuja kuomba radhi humu ndani kama nilivyofanya kwa ole gunnar solskjaer, si hivyo tu atakuwa ni mchezaji wa pili kuniaibisha baada ya zoran tosic.
lakini ikiwa kinyume chake tutakuwa tumekula hasara kwa sababu itatulazimu tena kuendelea kumtumia juan mata na jesse lingard upande wa kulia ambao wamekwisha feli kwa muda mrefu na jambo hili sitaki kuliona likitokezea tena.
alichokosea bwana ole ni kumweka daniel james kama ni kipaombele chake cha kwanza kwenye usajili ndio maana si ajabu kumuona bwana ed woodward amemkimbilia huyo kijana kwa sababu ni rahisi kumpata.
ni rahisi sana kulipa paundi millioni 50 kwa mchezaji baadae ukalipa tena paundi millioni 15 kwa mchezaji anayecheza nafasi ile ile.
ni rahisi sana kulipa paundi millioni 15 kwa mchezaji lakini ni vigumu sana kulipa tena paundi millioni 50 kwa mchezaji mwengine anayecheza nafasi ile ile.
View attachment 1148508
hivi ni nani anayemdanganya ole gunnar solskjaer kama atapewa muda mrefu wa kujenga timu kwa kutumia wachezaji ambao ni underdog kama alivyo yeye na CV yake ya ukocha?
ni nani aliyemwaminisha bwana ole ya kwamba wachezaji wa kiingereza ndio pekee wenye haki miliki ya kuzipigania timu (wazalendo)?
Manchester United 'preparing bid for Longstaff'
United are reportedly preparing a bid for the Newcastle midfielder Sean Longstaff.
However, Sky Sports say Newcastle will demand a fee in excess of £50million for the 21-year-old.
Longstaff’s current deal at St James’ Park runs until 2022.

tatizo letu la kwanza tumekuwa na tabia ya kuwavumilia wachezaji wabovu kwa muda mrefu na hii tabia ilikuwepo tokea zamani na tumeshindwa kuiacha.Man u siwaelewi kabisa wanatafuta nini
tatizo la pili tumekuwa wazito sana kununua wachezaji kwa muda muafaka na pia tumekuwa wazito sana kuuza wachezaji wetu na hili limechangiwa zaidi na matokeo mabovu tunayoyapata kwa miaka ya karibuni.Man u siwaelewi kabisa wanatafuta nini
usajili wa kweli unapaswa uanzie kwa huyo bwana bruno fernandez.Man u siwaelewi kabisa wanatafuta nini