Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Utacheka sana lakini roho inauma,ndio hivyo wacha waonewenyewe,msimu huu sijui kama mtaweza kushi bila RVP,mjiandae kukimbiwa na wengi, na song ndio huyoo ana sepa.mwambie babu afanye michakato mapema,vijana wanahamu na vikombe sio longolongo.
 
Good luck to the RED DEVILS tonite... Everton away is always a tough game for us and theres no RIO tonite
 
Haya wadau...tunakutana tena kwenye jamvi..
Habari za masiku tele?
Tunajipanga kwa trebble kwa usajili huu..
 
Tetesi eti Kaka from real madrid anakuja utd...naah hatumtaki kashachoka mzee yule
 
Michael carrick as a central defender na valencia as a right back? Mh leo sioni ushindi everton watatupiga counter attack sana leo
 
huu uzi hata kwenye match day unadoda... so far 1st half imekwisha manure nawaona wakawaida sana
 
Wakuu ebu tuwekeeni link ya online kwa wale wajuzi plz
 
Hawajamaaa siku zote wanatumbua sana subiri tuone dakika zitazobakia
 
Utacheka sana lakini roho inauma,ndio hivyo wacha waonewenyewe,msimu huu sijui kama mtaweza kushi bila RVP,mjiandae kukimbiwa na wengi, na song ndio huyoo ana sepa.mwambie babu afanye michakato mapema,vijana wanahamu na vikombe sio longolongo.

Hiyo jezi kawa kama mchinja kuku pale shekilango. Huyo umia-umia ndio mnajivunia? Arsenal ina miaka 125 haiyumbishwi na mchezaji mmoja kutoka. Aliyeua timu alikuwa Patrick Vieira, si RvP.

Kwanza hongereni kwa kichapo, ndio raha ya kuchonga mdomo. Ajirini daktari kabisa manake sasa hivi atakuwa majeruhi huyo
 
Van Majeruhi ni mzee kuliko kaka kama ulikuwa hujui. Au hujui michael owen naye babu?

kichapo.com, chezea Fellain we!

Rvp ana miaka 29 kaka 30 sa sijui unaongea pumba gani..leo nilivoona ile line up nilijua tunafungwa nishaona games sana pale old trafford so i know cku ya kichapo hua najua :biggrinn1:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…