severinembena
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 2,435
- 2,402
Mlete weweNa hatakuja???? Unaongea hivi ukiwa kama nani pale Manchester United CEO,Owners au Ukiwa kwenye Technical bench au wewe ni Scouting wa United..........Mtu unaishi Uvinza unataka kujifanya wewe ndio Ed Woodward sasa
Jangili gani huyu? Labda kama ni Wa wanyama ila siyo mpirawe need a proper 10, lasivyo tutakua tunamuona mzigo. United have been without a 10 since Rooney and RVP days. Jamaa ni jangili mzuri ila anahitaji striking partner. Nje ya hapo tutakua tunacheza na muda
Lakini vipi kuhusu tackling, interceptions n.k?We are buying Ashley Young Vol 2.
View attachment 1131931
Neymar naye ndio wale wale tu.Kuna swap ya Pogba na Neymar inakuja
NitamletaMlete wewe
Ed woodward's targets is on profitability, OSG's targets are trophies ,leagues etc
ED is performing by numbers.
OGS is miserable
He got to go
Man U inasemekana wameikataa Manake inadaiwa endapo hilo litatokea Neema atapaswa kulipwa hadi £900000 kwa wiki,so Man U wameona watarudi kulekule kwenye destabilization of dressing room. Ila inasemekana wako tayari kumpa pogba mkataba mpya utaogharimu £500000 kwa wiki ili abaki japo yeye ni kama hatakiKuna swap ya Pogba na Neymar inakuja
ED ndio mchawi namba moja. Ona anavyohangaika na signings za bei za kawaida tu lakini zinamtoa jasho. Akitajiwa kuanzia 70 tu anakimbiaEd woodward's targets is on profitability, OSG's targets are trophies ,leagues etc
ED is performing by numbers.
OGS is miserable
He got to go
Spurs?
Halafu angalau hizo hela wange invest kwenye youth system, viwanja na miundombinu mingine, wanalipa deni lao personal lisilohusiana na timu, hali ya kuwa deni la timu (ambalo nalo ni wao walioleta kwa kukopa kwa kutumia Asset za Man u) lipo vile vile.ameandika Darren Clough kupitia account yake ya twitter:
"Manchester United's debt is £500m, there's been no capital paid off it since 2011. Share sales have brought in £452m, none of its been invested in Man Utd. The owners of Man City have put £1bn in, the Glazers have taken out £1bn.