Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Right footed au mashoto? Hahahahah

Siku hizi watu wa mguu wa kulia wanaona poa tu kupiga 7
Ni right footed mkuu, lakini yupo comfortable na mguu wa kushoto

Nimeona akipiga krosi vizuri tu kwa mguu wa kushoto
 
Ni right footed mkuu, lakini yupo comfortable na mguu wa kushoto

Nimeona akipiga krosi vizuri tu kwa mguu wa kushoto

Hahahahah

Hongereni mkuu Kwa kupata hiki kifaa kipya ila chondechonde asijekuflop kama kina Depay
 
Mkuu hivi huyu dogo tunaweza kumwamini aingie direct kwenye first eleven??..
Mpaka sasa namba 7 haina mwenyewe mkuu

Lingard, Mata, Sanchez, Rashford (ambaye naona atacheza zaidi kati) wote hawana uwezo kucheza vizuri namba 7 kama DJ

Martial ni 11, japo dogo kushoto pia DJ ni mtamu

Kwangu naona dogo ana uwezo makubwa, changamoto ni ku cope kucheza United, akitokea championship akikiweza hilo anaweza kuwa zaidi ya Bale (after all Bale sijawahi kumkubali)
 


Bale alitisha sana, sijui kama dunia itampata mchezaji anaecheza style ya uchezaji wa Bale

Masikini Majeruhi yalimuweka shimoni The pacy Welsh
 
I got you bro..
 
Nimeicopy sehemu fulani
Epl msimu uliopita
Most clearances:
• Wan-Bissaka (129)

Most tackles won:
• Wan-Bissaka (129)

Highest tackle success rate:
• Wan-Bissaka (94%)

Most take-ons completed:
• Wan-Bissaka (90)

Most interceptions:
• Wan-Bissaka (84)
 
Waingereza wakikuletea stats za Smalling utaahirisha kusajili beki
 

Hapa brother umepigwa changa live...

Wan-Bissaka haongozi kwa stats yoyote kwa msimu uliomalizika!



 
Dogo ana stats nzuri sana defensively

Lakini sio mzuri offensively, na fullbacks wa kileo lazima pia wawe wana contribute going forward
 
Duuh

Kama huyu dogo ni shabiki wa Darajani hivi hatakuja kupiga unafiki fulani in favour of his beloved Chelsea ?

Hahahahah
Ameshasema amejiunga the biggest club in the world, kwa hiyo mkuu tulia

Inasemekana OGS alikuwa ni shabiki wa Liverpool kabla hajaja uingereza, lakini sasa ni United through and through
 
Hii ni roho mbaya ya black human , unaanza kufafanua magoli yalifungwaje na takwimu zake za national team .. At his age ni Top scorer at national team ...



Acha roho mbaya mzee ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…