Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Woodward amekuwa kama jambazi kuu sasa.
 
Mechi nyingi za Man united walishinda kwa mbeleko za marefa mkuu. Mzee Fargie aliteka mioyo yao... na sasa hayupo. Ni kama ninyi fans wa manure, wengi munashabikia Juve kwa sababu ya Cr7, madirid mumeikacha..
 
United tukiwa na Daniel James aliyecheza dhidi ya Croatia na Hungary tutamfaidi sana

Bolingoli jana dhidi ya Scotland katupia mawili

Kuna watu wanaendelea kulalimikia first touch zake
Katupia 2 ndio ila hakuna lolote...moja la rebounding....tena kashtukiza tyr ndani....hujaona ile pas aliyopewa na kevin na ilikua ya kufunga matokeo yake kakosa..badala ya kufunga kaleta ujuaji, kajichanganya na mpira ukarudi.....lukaku hakuna kitu..shida statistics za N.team zikiletwa kwenye club na hatuzion zikitokea, walakin lazima uwepo...bolingoli lukaku ni kisu kibutu
 
Magoli ya kugongwa na mpira akifunga Pipo Inzagi au Chicharito utasikia, jamaa anajua kuji position kweli...... Lakini kwa kuwa ni Lukaku utasikia kabahatisha

Hivi hujiulizi kwanini pale United hagongani nazo?

Pogba asipocheza vizuri, utasikia tatizo hazungukwi na wachezaji watakaomfanya ang'are, lakini hizi stori huwa sizisikii kwa Lukaku

Mwisho wa siku kukosea mchezaji huwa ni jambo la kawaida, cha msingi makosa yasiwe mengi.

Aguero mwenyewe mechi ya Chelsea alikosa goli la wazi yeye na goli (sio kipa) kwenye ile mechi City aliyompiga Chelsea 6. Huyo Rashford mwenyewe ambaye eti ndio anaaminiwa kuliko Lukaku one on one amekosa za kutosha

Ngoja aondoke, aletwe sijui Icard tuone nini kitatokea
 
With all these rumours..to be fair Aron Bissaka si wa milioni 40 achilia mbali zaidi ya hapo...he is too overrated..ukabaji wake ni wa kujirusha mzima mzima dakika za mwisho hafu hajui kucross kama Young tu...ila huyu mbadala wanayemzumngumxia Max Aarons wa Norqich..he is too way better than AWB...na anaweza patikana kwa bei ndogo..though shida ninayoiona ..ni kwamba hana tofauti sana na Diogo Dalot...though anapiga cross tamu na kudribble..kwenye defence ni wa kawaida
 
Man Utd ikimaliza ya 25 ndo Management itaamka na kufanya lililotakiwa kufanyika siku nyingi tu.
 
First touch hazina maana kwa poacher kama Van Nesterlooy au Chicharito.

First touch ni za muhimu kwa kina Messi wana dribble uwanja mzima.

As long as mchezaji anafunga magoli hata kwa tumbo sijali kuhusu first wala second wala third touch.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…