Si hamtaki team isajili waingereza ?Hivi wakuu hatuwezi kumvuta Ryan Fraser wa Bournemouth, jamaa wa pili kwa assist kama sijakosea msimu huu nyuma ya Hazard. Yaani sitaki kuwaona lingard na Rashford huko mbele, bora smalling na Jones kidogo wanapangua vimpira, ila hao madogo hawafai, Young sijui anafanya nini? Man U yangu.
Kwenye kikosi cha uingereza ninaowaona wanapigania na kupambana ni.
Trent Alexander-Anorld
Jordan Pickford
James Madison
Jamie Vardy
Alafu unashangaa hawapangwi. Sterling ovyo tu kujiangusha anakera. Naskia Mournho anaitaka kazi ya Rafa Beniteze
Si hamtaki team isajili waingereza ?
Hao wachezaji uliowataja wote hawana namba first eleven
Tatizo ni makocha kupendelea walioflop. Tunataka wanaojituma, pogba ni mfaransa ila akicheza ni Bora Smalling anayefukuzana na messi kuliko nyondo za pobga.
Mkuu kuna makocha sijui vipi. Unafikiri kikosi cha England kingekuwa hivi ingekuwaje.
PICKFORD
SHAW MAGUIRE ROSE ALEXANDER ANOLD
MADISON LOFTUS-CHEEK DEMRAI GRAY
STERLING KANE HUDSON-ODOI
Mimi ni shabiki wa Man U nimeweka niliowaona premier league, Hudson Odoi japo anajitahidi kama winga mshambuliaji kuliko pumbavu lingard.
Huyu jamaa Ed sijui anatutaka nini? Mbona city na liverpool wananunua wachezaji wa kawaida kwa gharama kubwa lakini wanawabadilisha kuwa world class? Vvd kwa watakatifu paleKm naelewa hapa. Hata mimi hiyo worry ninayo.
Hiyo siyo kazi ya EDHuyu jamaa Ed sijui anatutaka nini? Mbona city na liverpool wananunua wachezaji wa kawaida kwa gharama kubwa lakini wanawabadilisha kuwa world class? Vvd kwa watakatifu pale
Lingard atapata nafasi Uingereza tu.Mbona Gareth Southgate bado anamwamini Lingard ?
After all Man united kwa sasa kumlaumu individual player tunakosea timu nzima iko katika hali mbaya too disorganized lakini majeraha ya Mara kwa Mara
Waingereza ndo walitakiwa kuwa wa kwanza wa kuoneshwa mlango wa kutokea.Pale abaki Martial, Lukaku na Rashford na Sanchez. Watu kama Lingard, Young, Jones na Smalling hawatakiwi kuwepo
Waingereza ndo walitakiwa kuwa wa kwanza wa kuoneshwa mlango wa kutokea.
Hakuna Talent England ya sasa. Enzi za kina Rooney, Rio n.k hazipo tena.
Kama ni chaguo la manager sioni kwanini asite kumnunua,watamrudishia lawama kuhusu first targets zake kama akina lvg,mou na moyesHiyo siyo kazi ya ED
Asante mkuuManeno machache lakini yameshiba,please register my appreciation
Asenoaseno ndo nn???Hapana Mimi naamini ni mfumo mzima Wa club ktk kusajili ulikuwa Wa ki asenoaseno yaani Wa kuangalia faida kifedha zaidi,ila kwa sasa wameamua wabadilike na kuendana na mahitaji ya mpira kiasi cha kumsikiliza kocha anachotaka na kumtimizia.
Henderson??
Umemtaja mchezaji ninayemchukia zaidi kuliko kitu chochote duniani
Arsenal wamekuwa hawajali sana mafanikio ya uwanjani wanachojali ni kuingiza mapato zaidi. Mzee Wenger aliwanufaisha sana kwa hilo mana alikuwa akinunua wachezaji kwa hela ndogo sana kisha anawatengeneza na kuwauza kwa pesa ndefu,matokeo yake timu inafanya vizuri sokoni halafu kwenye pitch inazinguaAsenoaseno ndo nn???