Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bruno fernandes to man united is done....
uvumi wa jana ndio huu hapa:
Bruno Fernandes to Man Utd transfer could be off - because of Ed Woodward
According to Portuguese outlet, O Jogo Woodward is 'hesitant' about the deal and is wary of spending yet another large sum of money on a player who has not yet tested himself at the very highest level.

Tottenham leading Bruno Fernandes race ‘but a move from Liverpool can change everything’
 
Wale marefa walikuwa fans wa mzee Fargie wamestaafu mkuu.
Fergie amechukua uefa 2, chelsea mna ngapi?.. arsenal je?.. Bado alibebwa na huko?
Giggs peke yake ana EPL 12 .. ndani ya uongozi wa SIR ALEX timu kama Chelsea, Arsenal na City walibeba EPL, Je Liverpool tu ndio marefa walikuwa wanawaonea miaka 30 bila kitu.
Au we Yanga mkuu?
 
Leo imesemekana baada ya fainali, ataelekea kufanya medical check-up pale carr
 
Lingard ana mchango gani sasa? Welbeck anauwezo wa kukabia mbele kabisa sasa lingard anafanya nini zaidi ya kukimbiakimbia tu nguv hana akila hana contro poor
Unamzungumzia Lingard gan? Maana Lingard ninayemjua mm tangu enzi za Van gaal alikuwa anapata Namba kwa 7bu anajua kukabia juu na muda wote anawapa presha mabek na kuwapelekea kupoteza mipira,
 
Unamzungumzia Lingard gan? Maana Lingard ninayemjua mm tangu enzi za Van gaal alikuwa anapata Namba kwa 7bu anajua kukabia juu na muda wote anawapa presha mabek na kuwapelekea kupoteza mipira,

Kwa van gaal kacheza si mech zaidi ya 10 kama sikosei aliumia na kama angekuwa anatoa presha kwa mabek basi angalia zile mech za top 5 kama tumewah kumilik mpira
 
Maneno machache lakini yameshiba,please register my appreciation
 
Km naelewa hapa. Hata mimi hiyo worry ninayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…