Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sasa tutafanyaje sasa sisi mashabiki kama maboss bado wanampa mkataba ?
 
Kama sikosei Man Utd amechukua UCL kabla ya Barca sasa pale Barca watu wenye uwezo kama wa Lingard hawawezi kuendekezwa hata siku moja hata kama wawe wazawa

Ishu za hovyo kama hizi ndio zimeifanya Barca kuwa Club kubwa kuliko MUFC
 
Mbona Gareth Southgate bado anamwamini Lingard ?

After all Man united kwa sasa kumlaumu individual player tunakosea timu nzima iko katika hali mbaya too disorganized lakini majeraha ya Mara kwa Mara

Si ndio huyo huyo ambae huwa anamuwekaga benchi Vardy halafu anamwanzisha Rashford

We unaona Rashford ni wa kumuweka benchi Jamie Vardy?!!
 
Unazungumzia Timu ya Taifa ya Uingereza?

Hivi huoni kuwa Timu ya England ukishaweza kupiga Danadana 3 tu basi uhakika wa Namba unao?
Sasa kwa Kikosi kama hichi ↓↓ Lingard atakosaje kuaminiwa unadhani?

Jesse Lingard for Manchester United:

Appearances - 167
Goals - 29
Assists - 18

To put this into context, Trent Alexander Arnold this season alone had more assists than Lingard has in his entire United career. Mediocre players, results in mediocre performances.
 
Hakuna team iliyofanya toka kombe hili limeanzishwa.

Man united fans tunataka kweli mabadiliko kwenye Squad yetu lakini hayatakiwi kuwa mabadiliko ya gambling.

Epl siyo ligi rahisi kama TPl
Ah wapi

Mafanikio ungesema kwamba kocha huyu kila WC anafikaga Semi final
 
Hakuna team iliyofanya toka kombe hili limeanzishwa.

Man united fans tunataka kweli mabadiliko kwenye Squad yetu lakini hayatakiwi kuwa mabadiliko ya gambling.

Epl siyo ligi rahisi kama TPl

Pale abaki Martial, Lukaku na Rashford na Sanchez. Watu kama Lingard, Young, Jones na Smalling hawatakiwi kuwepo
 
Lingard hapati namba timu yoyote pale uingereza labda lig two kule
 
Si ndio huyo huyo ambae huwa anamuwekaga benchi Vardy halafu anamwanzisha Rashford

We unaona Rashford ni wa kumuweka benchi Jamie Vardy?!!

Hao madogo ndo wanaoiponza hii timu kwa sasa wakufukuzwa kuna ka rashford martial na lingard kila baada ya mech 15 wanafunga goli moja unategemea nini hapo

Hata assist hakuna daaaa
 
Tukienda kwa namna hii na Kama Newcastle United wakinunuliwa na mwarabu Kama inavyosemekana Basi tutawapoteza mashabiki wengi Sana wasio wavumilie Kama ilivyokuwa kwa man city.kunatakiwa kuwepo na watu wa kutuondoa kwenye mkwamo huu na kutusongesha mbele,simuamini kabisa Ed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…