Mwanzo nilianza kumuamini Ogs kuwa anajaribu kuijenga manchester mpya kwa kuwaamini vijana wadogo wenye vipaji. Lakini cha kushangaza targets zake unamkuta mtu kama Dier ambaye bench la spurs linajua rangi ya boxer yake.Hapa ndiyo ninapoleta mjadala kuhusu nani wa kulaumiwa kwenye usajili! Je ni Ed? au Ole?
Nakumbuka Liverpool tukiwa na Matajiri hawahawa (FSG) tulionao Makocha waliopita Hodgson, Dalglish na Rodgers walikuwa wskitusainia wachezaji aina ya Henderson, Downing, Allen, Spearing, Charlie Adams, Lallana, Kolo Toure, Lovren na Wapumbavu wengi tu wa Calibre ya hao ambao ni average na wa bei za kununua Nyanya.
Lakini tukiwa na Matajiri hawahawa FSG chini ya Kocha Klopp tunasaini wachezaji wa aina ya Mane, Salah, Allison, Fabinho na VVD ambao ni talented bei zao zinaendana na Soko.
Sasa hapo je tatizo ni Tajiri, CEO, Makocha au Scout teams zinakuwa na udhaifu katika kuidentify Targets sahihi?
Ni wazi kuwa Scout team pamoja na Kocha hawapo vizuri ndiyo sababu ya kusajili failure signings.
Kubebwa!!??? Hatubebwi ss....ss manure tulishinda kihalali kabisaTimu imeyumba tu.. kipindi tuko vzr walisema tunabebwa.
Kijiji hakikosi wazee wewe... timu gani hapo EPL ina vijana wa 18-25 tu.Mwanzo nilianza kumuamini Ogs kuwa anajaribu kuijenga manchester mpya kwa kuwaamini vijana wadogo wenye vipaji. Lakini cha kushangaza targets zake unamkuta mtu kama Dier ambaye bench la spurs linajua rangi ya boxer yake.
Nadhani kuna namna hawa walimu wanaoomba ajira huwa wanaahidi kufanya makubwa kwa bajeti ndogo.
Wale marefa walikuwa fans wa mzee Fargie wamestaafu mkuu.Timu imeyumba tu.. kipindi tuko vzr walisema tunabebwa.
Hv kweli tunaamini inawezekana wachezaji wote waondoshwe at a go? Kiuhalisia haiwezekani, kikosi hamuwezi kukibadilisha completely kwa season moja wajameni. Wachezaji wa kuondoka msimu huu mimi nadhani wangekuwa hawa; Valency, Young, Roho, Damian, Jones.Msimu ujao waondoke hawa wasipo improve; Jessey, Rashford, Matic, De gea.Kama ni kweli, naona kabisa OGS hafikishi chrismass ashaoneshwa mlango wa kutokea.View attachment 1122206
Nashangaa, kati ya wachezaji tunao ambiwa wanaachwa, hakuna Muingereza hata mmoja!Hv kweli tunaamini inawezekana wachezaji wote waondoshwe at a go? Kiuhalisia haiwezekani, kikosi hamuwezi kukibadilisha completely kwa season moja wajameni. Wachezaji wa kuondoka msimu huu mimi nadhani wangekuwa hawa; Valency, Young, Roho, Damian, Jones.Msimu ujao waondoke hawa wasipo improve; Jessey, Rashford, Matic, De gea.
Watoto wa bibi haoNashangaa, kati ya wachezaji tunao ambiwa wanaachwa, hakuna Muingereza hata mmoja!
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Tatizo mnataka atimue wote halafu asajili wapya wote hili haliwezekani timu itashuka daraja tena ndani ya first round tu.Kama ni kweli, naona kabisa OGS hafikishi chrismass ashaoneshwa mlango wa kutokea.View attachment 1122206
Tukiweza kumudu kuleta namba sita na nane, itakuwa so mbaya, next season tunaleta centre back, wings na centre fowardHapa walau tumeanza kuwa seriousView attachment 1122241
Hata kumuondoa Young ni risk sana tukumbuke kuwa yeye kacheza karibia mechi zote za epl huku Dalot akiwa bench warmer na hata alipopewa nafasi hakuonyesha kuwa threat kwa young.Hv kweli tunaamini inawezekana wachezaji wote waondoshwe at a go? Kiuhalisia haiwezekani, kikosi hamuwezi kukibadilisha completely kwa season moja wajameni. Wachezaji wa kuondoka msimu huu mimi nadhani wangekuwa hawa; Valency, Young, Roho, Damian, Jones.Msimu ujao waondoke hawa wasipo improve; Jessey, Rashford, Matic, De gea.
Kina Web HAHA nakumbuka alikuwa akichezesha game yenu chelsea vs man u bas jua chelsea umeme unawahusuWale marefa walikuwa fans wa mzee Fargie wamestaafu mkuu.
Hapa walau tumeanza kuwa seriousView attachment 1122241
Hapana Mimi naamini ni mfumo mzima Wa club ktk kusajili ulikuwa Wa ki asenoaseno yaani Wa kuangalia faida kifedha zaidi,ila kwa sasa wameamua wabadilike na kuendana na mahitaji ya mpira kiasi cha kumsikiliza kocha anachotaka na kumtimizia.Hapa ndiyo ninapoleta mjadala kuhusu nani wa kulaumiwa kwenye usajili! Je ni Ed? au Ole?
Nakumbuka Liverpool tukiwa na Matajiri hawahawa (FSG) tulionao Makocha waliopita Hodgson, Dalglish na Rodgers walikuwa wskitusainia wachezaji aina ya Henderson, Downing, Allen, Spearing, Charlie Adams, Lallana, Kolo Toure, Lovren na Wapumbavu wengi tu wa Calibre ya hao ambao ni average na wa bei za kununua Nyanya.
Lakini tukiwa na Matajiri hawahawa FSG chini ya Kocha Klopp tunasaini wachezaji wa aina ya Mane, Salah, Allison, Fabinho na VVD ambao ni talented bei zao zinaendana na Soko.
Sasa hapo je tatizo ni Tajiri, CEO, Makocha au Scout teams zinakuwa na udhaifu katika kuidentify Targets sahihi?
Ni wazi kuwa Scout team pamoja na Kocha hawapo vizuri ndiyo sababu ya kusajili failure signings.
Herrera kule Bilbao alikuwa hachezi defensivelySio replacement ya Herrera!
Rabiot ni Central Attacking Midfielder ambayo anacheza more offensive with lack defensive minded, while Herrera ni natural Defensive Midfielder.
OGS ameshachemsha tayari. Chrismass hafiki.View attachment 1122207