Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ole alisema atawapata baadhi ya wachezaji mapema kabisa kabla ya pre-season..amekuwa mtu wa kuongea vitu ambavyo vingine sidhani kama hata anajua ni nini anakisema..

Kama timu tuna matatizo kibao..ili kuyafix tuanze na Ed woodward,yule ni wakufyekelea mbali..sema hili haliwezekani maana for the mean time, amewahakikishia glazzers family kuwa"the bag is secured",mpunga unaingia..Tusubiri timu ikishindwa kuingia Europa League labda ndo wataamka..

Kuna watu wanasema wachezaji wanaikataa manchester..hivi Wan Bissaka ni wakuikataa manchester,Maddison??,Nevez??,,Pepe??
 
To be honest, Mkuu mawazo kama haya ndiyo yanayowafanya Viongozi na Wamiliki wa Timu wasifanye mageuzi kwa kuamini kuwa hata wasisajili bado Status yao ni Kubwa.

Mwenzenu Real Madrid regardless his status ndiyokwanza Anakichafua huko Sokoni.
Utani tu mtani wangu,sisi hatuna watu Wa mpira tena pale tumejaza wafanya biashara watupu, na hatujui Hawa wafanya biashara watabadili lini mawazo yao. Hongereni sana, honestly mnastahili kututembelea na kutunanga manake hata sisi tungechukua huu ubingwa Mkubwa namna hii nadhani tungejazana huko kwenu, makelele na masimango yangekuwa zaidi ya haya. Doa mlilonalo ni ligi kuu sijui mnayumbia wapi.
 

Kuna Muarabu nasikia anaitaka Newcastle ainunue na kufanya kuwe na Top 7 kwa kusajili Majina Makubwa kwa gharama yoyote ile
 
Herrera huyooo kapepea, Pogba naye soon tu hayupo, Degea kagoma kuongeza mkataba hahahaha ..Lukaku ndo uyo mzigo wa kuni
mtabaki na nani sasa? Phil Jones, Smalling,? Mchukueni Samatta chap acheni ushamba...
 
Naona mawazo kama yetu yanaendelea kwenye majukwaa mengine ya nje kuhusu man utd kusuasua kusajili hadi sasa. Wanakosoa taarifa mbalimbali zinazotolewa na club lakini suala la usajili ni kama wamekwama sehemu halafu hawaonekani kulisemea nini kinaendelea wakilinganishwa na wenzao real madrid.
 
Historia ya talented players ya hivi karibuni pale united inatia mashaka ndiyo maana kila mchezaji anamgomea Woodward au anaomba mpunga mrefu sana.

Dimaria
Falcao
Mikhtarian
Sanchez
Depay
Darmian
Shinenderlin
Fred
Lukaku
Martial
Zaha

Hawa wote waliflop sasa mchezaji anayetaka kuja hapo lazima aangalie future yake itakuwaje

Kimsingi Woodward ana gundu
 
Historia ya talented players ya hivi karibuni pale united inatia mashaka ndiyo maana kila mchezaji anamgomea Woodward au anaomba mpunga mrefu sana.

Dimaria
Falcao
Mikhtarian
Sanchez
Depay
Darmian
Shinenderlin
Fred
Lukaku
Martial
Zaha

Hawa wote waliflop sasa mchezaji anayetaka kuja hapo lazima aangalie future yake itakuwaje

Kimsingi Woodward ana gundu
 
Herrera huyooo kapepea, Pogba naye soon tu hayupo, Degea kagoma kuongeza mkataba hahahaha ..Lukaku ndo uyo mzigo wa kuni
mtabaki na nani sasa? Phil Jones, Smalling,? Mchukueni Samatta chap acheni ushamba...
Degea anasaini mikataba kwa masharti magumu magumu, kwamba apangwe yeye mechi zote za ligi isipokuwa ktk mazingira maalum. Ameflop sana na yupo behind UNTD failure this term., naona akikaza wamwache aondoke. Pogba na Lukaku licha ya mapungufu yao kuwaachia kizembe itakuwa blanda ya kipekee kuwahi kutokea
 
Kwahiyo flop ya Hao wachezaji ni Ed Woodward??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…