Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,686
- 12,012
Dyabala jamani....Dyabala tangu mda anataka kucheza Old trafford..avutwe na yy
Team yenu haina usitawi wa jamiiZamani wachezaji waliihitaji Man U kwa mapenzi na moyo wote ikapelekea wachezaji wazuri tuwapate kwa bei ya kawaida, siku hizi Man U inalazimisha wachezaji kujiunga nayo kwa kuwanunua kwa mihela mingi na mamishahara yasiyo ya kawaida. Duuu ama kweli dunia inakimbia sana
Ha ha haKweli, kuna goal.com wale jamaa tetesi zao wanazitengeneza wenyewe, yaani wao kati ya 10 unaweza kuta 2 tu ndiyo tetesi za kweli.
Ila nimetembelea sky sports sioni deal ya de kujoin Manchester United hizo habari mnazitoa wapiZamani wachezaji waliihitaji Man U kwa mapenzi na moyo wote ikapelekea wachezaji wazuri tuwapate kwa bei ya kawaida, siku hizi Man U inalazimisha wachezaji kujiunga nayo kwa kuwanunua kwa mihela mingi na mamishahara yasiyo ya kawaida. Duuu ama kweli dunia inakimbia sana
Msingi Wa post yangu haukuegemea kwa huyo dogo nimecheki deals zilizopita. Kuhusu huyo dogo bado ni uvumi tu hakuna uhalisia wowoteIla nimetembelea sky sports sioni deal ya de kujoin Manchester United hizo habari mnazitoa wapi
Sky hawanaga ukanjanja
Van der sar angekuja kuwa mkurugenzi wetu tungeona mwanga sio kuwaleta kina rio
Hata aibu hana huyu jamaa.Hizi ndo nafasi ambazo man utd imezisishika tokea Ed Woodward awe CEO wake
2014 - 7th
2015 - 4th
2016 - 5th
2017 - 6th
2018 - 2nd
2019 - 6thView attachment 1108159
Cheki mimacho yake kama kitenesi. Puuzi sana hili jamaa.Hizi ndo nafasi ambazo man utd imezisishika tokea Ed Woodward awe CEO wake
2014 - 7th
2015 - 4th
2016 - 5th
2017 - 6th
2018 - 2nd
2019 - 6thView attachment 1108159
Matthijs De Ligt atasainiwa na Manutd, mwenye kuhifadhi hii comment ajitokeze.
i guarantee
Hahahahahahahahahhahahahahahahahah
Ha ha ha ha kuna sehemu nineona wanasema huyu dogo inasemekana ashamalizana na barca miezi miwili ilopita
Kiukweli Mkuu kama huyu dogo atakuja na atakuwa anavuta mpunga huo naamini tutakuwa tumetengeneza tatizo jingine, tutegemee wote tutakao wasajili mbeleni wademand high salaries.Kwa mshahara huu sioni namna ambavyo man united itajengwa na wachezaji wenye kuipigania timu
Mkufunzi wa zamani wa klabu ya Manchester United Sir Alex Ferguson ameshangazwa ni kwa nini klabu hiyo haitafuti ushauri wake na anaamini kwamba klabu hyo ingemsajili mkufunzi wa Tottenham manager Mauricio Pochettino badala ya Ole Gunnar Solskjaer. (Mail on Sunday)View attachment 823085Manchester United Trophies:
Full name: Manchester United Football Club
Nickname(s): The Red Devils
Founded: 1878 as Newton Heath LYR F.C | 1902 as Manchester United F.C.
League: Premier League
Website: ManUtd.com
View attachment 823091
Ground: Old Trafford, (Capacity: 74,994) - Pitch 105m x 68m
View attachment 827629
Co-Chairmen: Joel na Avram Glazer
View attachment 975419
Manager: Ole Gunnar Solskjaer
League Tittles: 20
First Division/Premier League Champions: 20 (1907/08, 1910/11, 1951/52, 1955/56, 1956/57, 1964/65, 1966/67, 1992/93, 1993/94, 1995/96, 1996–97, 1998/99, 1999/2000, 2000/01, 2002/03, 2006/07, 2007/08, 2008/09, 2010/11, 2012/13)
European Trophies: 6
UEFA Champions League: 3 (1967/68, 1998/99, 2007/08)
UEFA Europa League: 1 (2016/17)
UEFA Super Cup: 1 (1991)
UEFA Cup Winners': 1 (1990/91)
FA Cup Trophies: 12 (1908/09, 1947/48, 1962/63, 1976/77, 1982/83, 1984/85, 1989/90, 1993/94, 1995/96, 1998/99, 2003/04, 2015/16)
League Cup: 5 (1991/92, 2005/06, 2008/09, 2009/10, 2016/17)
Community Shield: 21
FA Charity Cup/FA Community Shield: (1908, 1911, 1952, 1956, 1957, 1965, 1967, 1977, 1983, 1990, 1993, 1994, 1996, 1997, 2003, 2007, 2008, 2010, 2011, 2013, 2016)
Other Trophies
Second Division Championship: 2 (1935/36, 1974/75)
Intercontinental Cup: 1 (1999)
FIFA Club World Cup: 1 (2008)
View attachment 827615
Manchester United Trophies' Cabinet
View attachment 514134
Manchester United Football Club celebrate as they Crowned Europa League Winners(2016/17)
Follow this thread for team updates!
Yamekuwa hayo tenaMkufunzi wa zamani wa klabu ya Manchester United Sir Alex Ferguson ameshangazwa ni kwa nini klabu hiyo haitafuti ushauri wake na anaamini kwamba klabu hyo ingemsajili mkufunzi wa Tottenham manager Mauricio Pochettino badala ya Ole Gunnar Solskjaer. (Mail on Sunday)
Tushaaanza kutafuta mchawi nani!! Hiz habar hua zinasambaaa sana kama donda ndugu...yy mwenyew ni kama tulisikia alimpigia kifua Ole awepoMkufunzi wa zamani wa klabu ya Manchester United Sir Alex Ferguson ameshangazwa ni kwa nini klabu hiyo haitafuti ushauri wake na anaamini kwamba klabu hyo ingemsajili mkufunzi wa Tottenham manager Mauricio Pochettino badala ya Ole Gunnar Solskjaer. (Mail on Sunday)