Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huyo mzee wa nini pale united
 
Hivi Man u hawamuoni Leroy Sane hadi waanze kutoa pound 88 kwa hako katoto ka Benfica?
Sidhani kama itawezekan ila Bayern ndiko mama yake Sane anashinikiza akacheze na baba ndy Agent!! Mkataba unataka renewing mda sana ila ukinzani fln umekuwepo!!
Sane ni bayern tu wamemtaka so cyo mulit-reported player kivile!!
 
Bayern amejipeleka kichwa kichwa na atapigwa kweli Sane hana thamani ya €80 ml
Sane amenunuliwa kwa paundi 40+ wakati huo ana miaka 20 kama sikosei, sasa hivi ana miaka 23 unategemea atauzwa hela ngapi na mfumuko wa bei kwa wachezaji jinsi ulivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…