The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,429
Allegri ni wale wale tu hakuna lolote.I think atatimuliwa before December
Waliharakisha sana kumsainisha permanent deal
Saa hizi Allegri angekuwa ametua Old Trafford
Kuwa na beki imara hiyo ni hoja nzuri sana.Smalling na Jones hata wakiitwa timu ya taifa ni wachezaji wa benchi hawajawahi kuanza kikosi cha kwanza na wako kwenye timu karibia miaka 10 ,Smalling aliwahi kucheza vizuri msimu mmoja wakati wa LVG
Rojo & Jones ni wachezaji ambao hawawezi kucheza mechi 5 mfululizo bila kuumia na ni mabeki wanaofanya many individual mistakes.Makocha wataendelea kufukuzwa until the management watakapogundua tatizo ni nini kwa sasa bado hawajagundua
Utamuuza Rashford + Lingard hukosi £100M unaongeza £60M unamleta Mbappe.You can't buy Mbappe with funds obtained by selling Rash and Ling combined together! They will not sell him with less than £160m. I swear
Tatizo la Man Utd halijawahi kuwa kocha.I think atatimuliwa before December
Waliharakisha sana kumsainisha permanent deal
Saa hizi Allegri angekuwa ametua Old Trafford
Utamuuza Rashford + Lingard hukosi £100M unaongeza £60M unamleta Mbappe.
DuuuhTatizo la Man Utd halijawahi kuwa kocha.
Hata kina Moyes au LVG wangefanya vyema.
Tatizo la Man Utd ni top Management.
Ambapo kumemfanya SAF astaafu mapema kuliko muda wake.
Rashford + Lingard + Martial tunampata Mbappe. Mbappe akikaa mbele pale na Lukaku itakuwa safi.Utamuuza Rashford + Lingard hukosi £100M unaongeza £60M unamleta Mbappe.
Rashford + Lingard + Martial tunampata Mbappe. Mbappe akikaa mbele pale na Lukaku itakuwa safi.
Kumbuka hao wanafanya vizuri endapo una winger wazuri na midfield iliyosimama.Rashford + Lingard + Martial tunampata Mbappe. Mbappe akikaa mbele pale na Lukaku itakuwa safi.
Kwahy alishinikizwa? DadavuaAmbapo kumemfanya SAF astaafu mapema kuliko muda wake.
Rashford + Lingard + Martial tunampata Mbappe. Mbappe akikaa mbele pale na Lukaku itakuwa safi.
Hao wote kwa pamoja hawamfikii Mbappe. Kwa ajili ya kumpata Mbappe unauza wote. Mbappe ni Messi wa kesho.Sasa unadhani Kocha gani atakayeuza wachezaji hao wote 3?
Mimi huwa si intervene mawazo yenu lakini ukweli ni Kwamba hao madogo (Rash, Ling na Mart) ni natural talented players ambao wanahitaji good coaching tu!
Bali kwasasa wanaonekana ni useless kwasababu system ya uchezaji wa timu hijawa suitable kwa wao.
Na vile vile timu nzima imekosa Morali jambo ambalo wenye vipaji na uwezo wanacheza kama Mrisho Ngassa.
Kiukweli hata kama Top Management (Ed na genge lake) lina matatizo kocha anatakiwa angolee kama kama Kila kitu kipo sawa na hakuna lolote linaloendelea.
Unay Emery anapewa Limited Budget ambayo haitozidi £100m lakini anaongea kwenye Media na Wachezaji kama Everything is alright.
Sasa hivyo ndiyo Kocha anavyotakiwa awe ili apandishe Moral ya Wachezaji.
Sasa Ole hana talent of Wisdom ya kupandisha psychology na Moral ya Wachezaji kwenye kupambana.
Hapo patafutwe kocha ambaye atacheza na Psychology za wachezaji ili afichue vipaji vilivyojificha vya kina Rash, Ling na Mart.
Naheshimu Mawazo yako ila nakuomba siku nyingine acha Kumlinganisha Lionel Messi "La Pulga" na vitu vya kijinga jinga ...Hao wote kwa pamoja hawamfikii Mbappe. Kwa ajili ya kumpata Mbappe unauza wote. Mbappe ni Messi wa kesho.
Yaani united ya wakina Cr7, Rooney 10, Berb09 , n.kNicolas Pepe
Zaha
Daniel Hames
Hakeem Ziyech
Tukiwapata hawa vijana itafaa sana
Nimewaangalia sana, wana kitu kikubwa sana miguuni mwao!
Usajili wa pogba na Sanchez ulichangiwa zaidi na ambition ya Management kwa sababu ya kibiashara na sio target ya kocha kwa 100% ....wakat mwingine ni ngumu kumbishia boss wako, japo mambo yakiharibika ww ndo unakuwa responsible....Zlatan is the most succesfully player signed by Mourinho despite his age,Sio kila mchezaji anasajiliwa aje acheze timu miaka 5/10
Kuna wachezaji huwa wanasajiliwa kwa ajili ya muda mfupi Henrik Larsson huyu hakucheza hata mechi 20 but ni mmoja ya wachezaji waliokuwa na msaada sana ule msimu.Rodgers alimsajili Milner akiwa mchezaji mzee lakini ni mmoja ya wachezaji muhimu sana kwenye kikosi chao kwa sasa
Ed Woodward ndio anayenegotiate mishahara ya wachezaji,yeye ndio alikuwa ana uwezo wa kukataa kumsajili Sanchez kama alivyogoma kusajili defender last season but alikuwa mchezaji mzuri pia alikuwa anauza jezi
Usajili wa pogba na Sanchez ulichangiwa zaidi na ambition ya Management kwa sababu ya kibiashara na sio target ya kocha kwa 100% ....wakat mwingine ni ngumu kumbishia boss wako, japo mambo yakiharibika ww ndo unakuwa responsible....
Ni kama ya Perez kumng'ang'ania James Rdriguez huku Anceloti hana mpango nae, mwisho wa siku mambo yakaenda vibaya Anceloti akafukuzwa kazi
Arsenal wako mbele kumhitaji Zaha.. kuna tetesi wako tayari kutoa wachezaji wawili + pesa ili wamchukue.Nicolas Pepe
Zaha
Daniel Hames
Hakeem Ziyech
Tukiwapata hawa vijana itafaa sana
Nimewaangalia sana, wana kitu kikubwa sana miguuni mwao!