D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
ujinga na upumbavu wetu ndio unaanzia hapo, mwanzo nilidhani timu yetu haina utofauti mkubwa sana na manchester city kwa kufanya mlinganisho wa wachezaji.Hivi bosi.
City ipo vzr na pep kapewa £200m
Utd na majanga ayo kapewa kiasi iko iko.
Sielewe vzr wanaposema utd ni timu kubwa na yenye mkwanja.
mzee wenger aliwasajili wengi sana kama hao na hatimaye aliishia kugombania nafasi ya 4 kila mwaka.Sajirini vipaji kama hivi, sio wapiga hela wasiojitumaView attachment 1101207
Kwa sasa bora mgeukiwa potential kama hawa ,hata liver alifanya hivi ,kuliko kukimbiliwa wachezaji wanao demand high wages halafu ubishoo mwingimzee wenger aliwasajili wengi sana kama hao na hatimaye aliishia kugombania nafasi ya 4 kila mwaka.
sessegnon hafanani hata kidogo na bernardo silva au leroy sane.
Hirving Rodrigo Lozano yupo PSV hajapata offer yoyote mpaka muda huu
upo sahihiKwa sasa bora mgeukiwa potential kama hawa ,hata liver alifanya hivi ,kuliko kukimbiliwa wachezaji wanao demand high wages halafu ubishoo mwingi
Ni kweli hata anaowachukua pep ndio hao hao potential, sema city huwa hawapend kubargain bei ndio maana huwa akienda akiambiwa 50 ,anatoa, ila wachezaji wa pep ni potential au wenye vipaji wanaochipukia ,upo sahihi
mara nyingi wachezaji mabishoo wanakuwa wale ambao wameshaanza kuonja umaarufu mfano paul pogba.
wapo wengine wanavipaji na bei yao sokoni ni ya gharama na bado ukiwasajili hawatakuangusha.
mbona guardiola anafanikiwa jamani.
Kuna watu kama ERIKSEN, MADDISON, LOZANO, VAN BEEKupo sahihi
mara nyingi wachezaji mabishoo wanakuwa wale ambao wameshaanza kuonja umaarufu mfano paul pogba.
wapo wengine wanavipaji na bei yao sokoni ni ya gharama na bado ukiwasajili hawatakuangusha.
mbona guardiola anafanikiwa jamani.
Tumefanya uzembe ..mimi nitabaki kuangalia uefa labda wenzangu mtaifata timu europa hukoView attachment 1100259
Umtiti, Dyabala naona ni gambling.Tunamhitaji Umtiti, Dyabala, Ayoze Perez na Eriksen.
Kwani hawawezi pelekwa kwa mkopo?Haiwezekani maana Phil Jones na Smalling wamepewa mikataba mipya tena ya four years each
Guardiola yupo tofauti.Hata Guardiolla yuko kwenye hilo kundi.
Mtu anayebadili mbinu uwanjani ni Mourinho, Zidane, klopp, Callo anceloti, Rafa benitez na Mauricio Pochetino.
Na itakuwa vizuri tukawekeza hata kwenye damu za wadachi.Kama OGS atamleta De ligt kama tetesi zinavyosema atakuwa ameweka statement kubwa sana, itavutia na kushawishi vipaji vingi ku consider kuja Man U msimu huu. Na kama jamaa atakataa timu kama Barca na kuja Man U inaonyesha kiasi gani anaupenda mpira.
https://metro.co.uk/2019/05/17/matt...-united-transfer-ahead-barcelona-move-9585896
Binafsi ntaacha kuangalia soka kabisa.nitahamia liverpool FC kishingo upande haijalishi penzi ni kikohozi.
- kama wilfred zaha akirudi manchester united
- kama tutasajili wachezaji watatu tu wa kiingereza msimu huu
man utd si timu ya baba yangu wala mama yangu.
Dunia ya leo hakuna waingereza wapambanaji kama enzi za kina Wazza, Beckham, G. Neville, Rio n.k.Hahahaha mkuu unawezaje kuhama timu, mimi siwezi
Labda uniambie uwe huna mpango wa kuifuatilia timu yako mpaka itakaporudi kwenye level yake
Mkuu kwanini hupendi Waingereza, kwangu mimi tukisajili Waingereza wenye uwezo sina tatizo, mfano tukisajili Kane, Sancho, Bissaka sioni tatizo
Mkuu,Hahahaha mkuu unawezaje kuhama timu, mimi siwezi
Labda uniambie uwe huna mpango wa kuifuatilia timu yako mpaka itakaporudi kwenye level yake
Mkuu kwanini hupendi Waingereza, kwangu mimi tukisajili Waingereza wenye uwezo sina tatizo, mfano tukisajili Kane, Sancho, Bissaka sioni tatizo
Amerika kusini, mashariki ya mbali, uholanzi, ureno unakusanya wachezaji hata 10 unawaleta pale OT na mishahara kama ya Samatta.Hizo paundi million 200 heri utumie kununua wachezaji wa nje ya uingereza utapata talent nzuri na wengi tu
Ni ngumu kuwaondoa kwa mkopo defenders wawili kwa wakati mmoja ilhali ndani unabaki na defender mmoja Lindelof.Kwani hawawezi pelekwa kwa mkopo?
Massimiliano Allegri anaondoka Juventus this sizon.