Hahahaha mkuu unawezaje kuhama timu, mimi siwezinitahamia liverpool FC kishingo upande haijalishi penzi ni kikohozi.
- kama wilfred zaha akirudi manchester united
- kama tutasajili wachezaji watatu tu wa kiingereza msimu huu
man utd si timu ya baba yangu wala mama yangu.
Mkuu Koullibally anaenda at per na Mbape kwa pace
Nimemcheki kwenye game za UCL group stages
kane?Hahahaha mkuu unawezaje kuhama timu, mimi siwezi
Labda uniambie uwe huna mpango wa kuifuatilia timu yako mpaka itakaporudi kwenye level yake
Mkuu kwanini hupendi Waingereza, kwangu mimi tukisajili Waingereza wenye uwezo sina tatizo, mfano tukisajili Kane, Sancho, Bissaka sioni tatizo
ni ngumu sana kuacha starehe pendwa mkuu, binafsi nafahamu siwezi kuacha mara moja kuifuatilia manchester united just nimeonyesha msisitizo wangu wa kutokufurahishwa na hali iliopo klabuni kwa sasa.Hahahaha mkuu unawezaje kuhama timu, mimi siwezi
Labda uniambie uwe huna mpango wa kuifuatilia timu yako mpaka itakaporudi kwenye level yake
kane?
sancho?
kwa paundi millioni 200 mkuu haiwezekani.
hahahahaaa rival my ass.Usikate tamaa hivyo Mkuu.
Mimi EPL nina Tottenham kama back up siyo hao rival wetu
tunakosa utulivu kwa sasa ndio maana kila tunachokishika kinageuka madini ya shaba.Hizo paundi million 200 heri utumie kununua wachezaji wa nje ya uingereza utapata talent nzuri na wengi tu
Utd is sinking.nitahamia liverpool FC kishingo upande haijalishi penzi ni kikohozi.
- kama wilfred zaha akirudi manchester united
- kama tutasajili wachezaji watatu tu wa kiingereza msimu huu
man utd si timu ya baba yangu wala mama yangu.
hahahahaaa rival my ass.
majogoo kila mchezaji aliyesajiliwa na jurgen klopp amegeuka dhahabu.
kiupande wetu kila mchezaji tunayemsajili anafanya vizuri nusu msimu.
kama si laana inayotukabili muda huu ni kitu gani jamani.
lukaku anaonekana amechoka wakati last season alifunga magoli mechi takribani tano mfululizo.
nemanja matic alikuwa onfire but now hakuna anamyetamani.
eric bailly yuko hoi.
antony martial anatia huruma, wakati msimu uliopita pamoja na rashford walikuwa wanashindana kwa kufunga mwanzoni mwa msimu, akianza rashford raha akitokea benchi full raha
only zlatan ibrahimovic ndio usajili wa maana tulioufurahia matunda yake haijalishi kwa sasa hayupo tena klabuni.
dah nimezikumbuka kelele zetu za 4G nyakati zile
Hivi bosi.Hizo paundi million 200 heri utumie kununua wachezaji wa nje ya uingereza utapata talent nzuri na wengi tu
tunakosa utulivu kwa sasa ndio maana kila tunachokishika kinageuka madini ya shaba.
nadhani pia ni muda muafaka kwa bwana ole na benchi lake la ufundi waachane na soka la kiingereza japokuwa ndio utamaduni wetu wa kila siku na ndio style iliotupa mafanikio chini ya gaffer.
Ni walewale tu,ame opt kuchezea ivory coast sababu ya kutokuwa na uhakika Wa kuchaguliwa ktk kikosi cha uingerezaZaha ni mua Ivory Coast
Kuna van de Beek mzuri sana piaWatuletee yule Zyech wa Ajax atembee pembeni
Kabisa wote chenga tu hao. Ama kweli tumeishiwa hadi watu wanaombea zaha aje aiokoe hii timu?!Mtu kama zaha sijui ayo perez.hakuna chochote watakachotupatia....kocha aende ulaya mashariki kule kuna mabeki visiki...halafu azame amerika ya kusini kuchukua mawinga
Anacheza vile sababu yeye ndio star Wa kale katimu,na ndio maana anaonekana sanaZaha anacheza mchezo wa kiume sana huwezi mlinganisha na Lingard, Lingard ana kipaji cha unenguaji.
Ha ha ha ha bro hata wakifanya hivyo usihame yatakwisha tu. Kuna wakati mtu unajuta kuupa mpira nafasi kubwa halafu unakutana na mi in charge kama Ed Woodwardnitahamia liverpool FC kishingo upande haijalishi penzi ni kikohozi.
- kama wilfred zaha akirudi manchester united
- kama tutasajili wachezaji watatu tu wa kiingereza msimu huu
man utd si timu ya baba yangu wala mama yangu.
Hawa akina Bissaka basi tu,ningekuwa na uwezo ningepiga risasi wapotee. Kiukweli wachezaji Wa kiingereza wanapambwa zaidi na Media kuliko uhalisia waoHahahaha mkuu unawezaje kuhama timu, mimi siwezi
Labda uniambie uwe huna mpango wa kuifuatilia timu yako mpaka itakaporudi kwenye level yake
Mkuu kwanini hupendi Waingereza, kwangu mimi tukisajili Waingereza wenye uwezo sina tatizo, mfano tukisajili Kane, Sancho, Bissaka sioni tatizo
wapo wanaonivutia kiuchezaji kama vile:Hahahaha mkuu unawezaje kuhama timu, mimi siwezi
Labda uniambie uwe huna mpango wa kuifuatilia timu yako mpaka itakaporudi kwenye level yake
Mkuu kwanini hupendi Waingereza, kwangu mimi tukisajili Waingereza wenye uwezo sina tatizo, mfano tukisajili Kane, Sancho, Bissaka sioni tatizo
Mbwa Hawa. Yaani silipendi lile li Woodward na komwe lake lile,sijui kwa nini hata kufa halitakiHivi bosi.
City ipo vzr na pep kapewa £200m
Utd na majanga ayo kapewa kiasi iko iko.
Sielewe vzr wanaposema utd ni timu kubwa na yenye mkwanja.
Hahaha.Mbwa Hawa. Yaani silipendi lile li Woodward na komwe lake lile,sijui kwa nini hata kufa halitaki