Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Waingereza watamfukuzisha kazi Ole.

Hakukuwa na haraka ya kuongeza mikataba haraka vile.

Mambo yote yalitakiwa yafanyike mwisho wa msimu.

Tufukuze beki yote tumuache Lindelof na Shaw.
Haiwezekani maana Phil Jones na Smalling wamepewa mikataba mipya tena ya four years each
 
Kwa mtu makni ukiangalia makocha hawa utagundua kitu....Van Gaal, Ole, kocha wa Baca na kocha wa ajax, kocha wa PSG, allegrin pia anafall kwenye category hii, yaani wapo kapu moja, ni one way direction, walivyofungulia ndivo wanavyomalizia, hawana turning back option,....labda itokee by default.

Kwa soka la sa hv moja ya sifa kuu ya kocha ni kugundua tatzo mapema na kulifanyia kazi wakati game inaendelea....Kocha yyte anayekosa hii sifa ni ngumu sana kusurvive kwenye stiff competition, watu wanaweza kukubadilikia dk sifuri tu ukachapika goal tano huku unaangalia.......
 
Pale belgium kuna viungo wana vipaji na hamu ya mafanikio.
Akina de brune ndidi wametoka huko na kazi zao zinaonekana.hawa ma soft wa #brexit tutaendelea kufail.
 
Hata Guardiolla yuko kwenye hilo kundi.

Mtu anayebadili mbinu uwanjani ni Mourinho, Zidane, klopp, Callo anceloti, Rafa benitez na Mauricio Pochetino.
 
Huyo dogo hana ubavu wa kukataa kwenda Barca

Kikwazo kikubwa kwake ni bajeti finyu ya Barca, kumbuka Barca tayari wanamchukua Dejong kwa £65 million, kuna asilimia kubwa Griezeman akenda Barca kwa release clause ya £105million. Bei ya De Ligt ni £60 million +. Ukijumlisha hapo ni hela nyingi (zaidi ya £ 230 million) inayohitajika hapo.

Kikwazo kingine ni Wachezaji walionao katika beki ya kati. Kitu walichokuwa wanaangaalia ni kumuuza Umtiti ili kuwe na space ya De Ligt, wasipota mteja itakuwa ngumu kuleta beki mwingine wa kati

Kuhusu ufinyu wa bajeti, possible solution iliyopo ni labda wamuuze Coutinho au Dembele au Akina Semedo na kipa wao namba 2 Jasper ili wapate mpunga wa kununua Dejong, De Ligt na Griezeman.

Wanahitaji kuuza Wachezaji ili wa balance hesabu zao (kwenye kununua wachezaji na kulipa mshahara)

Man tukimpata huyo, naona kivutio pekee itakuwa ni hela
 
De light hatakuja Man united nafikiri Skinniar au Maguire watavaa uzi wa man u msimu ujao
Skriniar nimesikia amesaini mkataba mpya juzi may be tumpate Maguire, japo mimi namkubali Maguire kwenye kuchezesha timu na kwenye mipira ya juu lakini hana pace ya kukimbizana na vibelenge mkuu

Bado naimani tutampata Koullibally, Tuanzebe kutoka loan Aston Villa anaweza kuja kutusaidia pia
 
Hata khalidou naye analow pace pia kwa maana hiyo Skrinniar ni ideal zaidi
 
Usikate tamaa hivyo Mkuu.
Mimi EPL nina Tottenham kama back up siyo hao rival wetu
  1. kama wilfred zaha akirudi manchester united
  2. kama tutasajili wachezaji watatu tu wa kiingereza msimu huu
nitahamia liverpool FC kishingo upande haijalishi penzi ni kikohozi.
man utd si timu ya baba yangu wala mama yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…