Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 55,026
Kitu cha kwanza ni bodi yenyewe kujitathimini kama wamekubali man u iwe hivyo.Daaah...! Sawa, so unadhani nini kifanyike ss hv ili kuinusuru Man Utd kuzidi kupoteza ubora wake
Hapo kwenye bodi nimekuelewa sana Chifu na ndilo jipu linaoitafuna hata timu yangu Chelsea nikiwa Mshabiki wake mahiri kabisa.Kitu cha kwanza ni bodi yenyewe kujitathimini kama wamekubali man u iwe hivyo.
Pili, wachezaji pia wajiulize kama wana thamani ya kuchezwa pale OT.
Tatu, Kocha atafutwe mwenye uzoefu/tamaa ya mafanikio, Potchetino anaweza kufaa zaidi.
Kitu cha kwanza ni bodi yenyewe kujitathimini kama wamekubali man u iwe hivyo.
Pili, wachezaji pia wajiulize kama wana thamani ya kuchezwa pale OT.
Tatu, Kocha atafutwe mwenye uzoefu/tamaa ya mafanikio, Potchetino anaweza kufaa zaidi.
Nilikuwa nawaza ushindi, ni siku ile Cardiff imeshuka daraja rasmi. Kwa kweli mechi ilikuwa nyepesi, uhuni tu wa wachezaji ndiyo umetukosesha ushindi.Ulikuwa unawaza nini kuandika hivi?
Kitu cha kwanza ni bodi yenyewe kujitathimini kama wamekubali man u iwe hivyo.
Pili, wachezaji pia wajiulize kama wana thamani ya kuchezwa pale OT.
Tatu, Kocha atafutwe mwenye uzoefu/tamaa ya mafanikio, Potchetino anaweza kufaa zaidi.
Binafsi naona hawastahili isipokuwa Lukaku.Tukirudi kwa Wachezaji kiukweli Pogba, Sanchez, Young, Rashford, Evans, Lingard, Lukaku na hata Matic wanastahili kuichezea Man Utd coz wamekaa Kizee zee na utoto mwingi sana kiasi kunahitajika mabadiliko yao vyovyote iwezekanavyo.
Kitu cha kwanza ni bodi yenyewe kujitathimini kama wamekubali man u iwe hivyo.
Pili, wachezaji pia wajiulize kama wana thamani ya kuchezwa pale OT.
Tatu, Kocha atafutwe mwenye uzoefu/tamaa ya mafanikio, Potchetino anaweza kufaa zaidi.
B
Binafsi naona hawastahili isipokuwa Lukaku.
Evans gani unayemzungumzia ww mkuu?au wa CARDIFFCITY2-MANURE0?Tukirudi kwa Wachezaji kiukweli Pogba, Sanchez, Young, Rashford, Evans, Lingard, Lukaku na hata Matic wanastahili kuichezea Man Utd coz wamekaa Kizee zee na utoto mwingi sana kiasi kunahitajika mabadiliko yao vyovyote iwezekanavyo.
Mzee baba Mourinho alipambana sana , ndo mana kasema kuwa nafasi ya pili msimu uliopita akiwa na hzo Lazy goats sio kazi ya kitotoMou alikuwa na mapungufu yake but he is so much better by far than huyu Ole hatufai we should sack him hawa virus kina pogba young smalling ringard trashford jones waondoke tu
Evans gani unayemzungumzia ww mkuu?au wa CARDIFFCITY2-MANURE0?
sio walewale ni wapyaJamani sosha wetu huyu ci tulimsifia sana?? Wachezaji ci wale wale tu?