severinembena
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 2,435
- 2,402
Mimi huwa naamini mtaweza kukaribia kufunika pengo la hazard kama mtamsajili Coutinho halafu akaweza kurudisha kile kiwango alichokuwanacho pale LiverpoolNdio maana nikamtaja pulisic, japo hamfikii hazard kiuwezo lakini hata mbuyu ulianza kama mchicha
Sawa lakini si alichagua kwetuDuh mkuu, Hazard amekuja Chelsea United na City wanamtolea Macho
Perisic ni wa kawaida sana mkuu
Hata pulisic wengi walimtaka, akachagua mwenyewe ChelseaDuh mkuu, Hazard amekuja Chelsea United na City wanamtolea Macho
Perisic ni wa kawaida sana mkuu
Sikatai uwezo wake mkuu na ndio maana natumia avatar yakeHapo naona kama unamvunjia heshima Hazard na kujidanganya tu mkuu, msimu huu yeye ndo ameongoza kwa Assist na Magoli kwenye club yenu akiwa na goli 16 na assist 15 na hyo ni premier league tu sasa kwa mchango kama huo nani ataweza ziba pengo lake pale akiondoka kwa akili yako?pamoja na kuchangia hvyo yeye binafsi bdo timu yenu imestruggle kdgo kuingia top 4, hapo unajifunza nn?imagine asingekuwepo ss, btw yeye ndo anaongoza kwa assist PL nzima.
Kwenye tuzo zenu za msimu huu jamaa kachukua kila kitu,Mchezaji bora,Mfungaji bora,Na goli bora la msimu alafu unadiliki kusema hammtegemei hebu kuwa serious kijana! Hao kina Willian sijui Pedro na Higuain ni majina tu ila kimchango hakuna aliemkaribia acha kumfikia hata kidgo!
Kwa kipindi kile United alikuwa ni chaguo lenye kuvutia kuliko ChelseaSawa lakini si alichagua kwetu
Kumbuka city haikuwa na ushawishi bado wa kuvutia wachezaji,
Alikuwa na machaguo mawili tu United, au Chelsea
Akasema anaenda kwa mabingwa wa ulaya au umesahau mkuu
Hakuna kitu hapo, kwanza hana ubunifu uwanjani, ndio maana Barca wanataka kuuzaMimi huwa naamini mtaweza kukaribia kufunika pengo la hazard kama mtamsajili Coutinho halafu akaweza kurudisha kile kiwango alichokuwanacho pale Liverpool
Tatizo sio wachezaji kuondoka, tatizo ni replacement tunayofanya .Anaondoka RVP+ ROONEY+ ZLATAN.. tunabaki na LUKAKU+ RASHFORD+ LINGARD.
Hatuko sirias aisee , United imekuwa ya majaribio.
Sikatai uwezo wake mkuu na ndio maana natumia avatar yake
Ninachopinga Mimi ni kusema akiondoka team itatetereka
Alichagua kuja chelsea kwa sababu SAF alikataa kumlipa agent cha juu.Sawa lakini si alichagua kwetu
Kumbuka city haikuwa na ushawishi bado wa kuvutia wachezaji,
Alikuwa na machaguo mawili tu United, au Chelsea
Akasema anaenda kwa mabingwa wa ulaya au umesahau mkuu
Time will tellInaonekana hujaielewa vzr comment yangu,nimejaribu kukuonesha ni jinsi gani mnavyo mtegema na nimekuuliza kiroho safi tu wewe unaona nani ataziba pengo lake pale akiondoka? yaani kitakacho tokea ni kama kilichowakuta Madrid baada ya Ronaldo kuondoka
Inaonekana hujaielewa vzr comment yangu,nimejaribu kukuonesha ni jinsi gani mnavyo mtegemea na nimekuuliza kiroho safi tu wewe unaona nani ataziba pengo lake pale akiondoka? yaani kitakacho tokea ni kama kilichowakuta Madrid baada ya Ronaldo kuondoka
Time will tell
Kimario anasema Hazard cyo nguzo na pumzi ya Chelsea. Wakat duniani tunajua ndy hewa yao ile. Hata kama akiondoka, Pulisic yupo na chelsea itabaki kua juuHumu kuna mjadala gani tena?
Kimario anasema Hazard cyo nguzo na pumzi ya Chelsea. Wakat duniani tunajua ndy hewa yao ile. Hata kama akiondoka, Pulisic yupo na chelsea itabaki kua juu
Kule kwenye uzi wao huwa wanajadiliana siku ya mechi tu sasa kuziba hiyo lacuna wanakuja kutupigia kelele hukuuzi wa manchester ila majibizano ni ya mchezaji wa chelsea
USAJILI WA MAN U HUU HAPA
UNAMTAKA supastaa kama Neymar na Philippe Coutinho kwenye kikosi chako? Kama wewe ni shabiki wa Manchester United basi hii inakuhusu zaidi.
Kocha Ole Gunnar Solskjaer amesema hivi anataka kusitisha mpango wa Man United kusajili wachezaji kwa pesa nyingi na kwamba anachotaka ni kunasa wachezaji wa kawaida tu kwa gharama ndogo.
Kocha huyo amedai anataka kuijenga Man United mpya bila ya kusajili wachezaji wenye majina makubwa na badala yake anahitaji kunasa wachezaji wenye vipaji na makinda.
Kocha, Solskjaer ataingia sokoni kufanya usajili mwishoni mwa msimu huu huku akilenga kuleta wachezaji makinda zaidi wenye faida kwenye timu kuliko kunasa wachezaji waliokomaa kwa pesa nyingi na kisha hawana maajabu.
Miaka ya karibuni, Man United imekuwa ikitumia pesa nyingi sana kwenye usajili kama ilivyomnasa Paul Pogba kwa Pauni 89 milioni, Angel Di Maria kwa Pauni 59.7 milioni na Romelu Lukaku kwa Pauni 75 milioni na wote hao wamekuwa hasara tu kwenye timu.
Lakini, Solskjaer anataka kufuata nyayo za Mauricio Pochettino wa Tottenham za kusajili wachezaji wenye vipaji kwa gharama nafuu na wenye umri mdogo. Mchezaji aliyesajiliwa pesa nyingi Spurs ni beki Davinson Sanchez, aliyenaswa kwa Pauni 42 milioni kutoka Ajax na umri wake ni miaka 21.
Solskjaer sasa anataka kunasa makinda matata wenye vipaji kama Jadon Sancho, Matthijs de Ligt, Declan Rice, Aaron Wan-Bissaka na makinda wengine wenye umri wa miaka 20 mwanzoni.
Ripoti zinadai wachezaji kama Pogba, Lukaku wanaweza kufunguliwa mlango wa kutoka huku Ander Herrera akijiandaa kuondoka mwisho wa msimu.
Gwiji wa Man United, Gary Neville alisema Solskjaer anahitaji kusajili makinda wenye uwezo kama anataka kurudisha timu kwenye Top Four akisema: Lile kundi la wachezaji waliopo kwa sasa, silipendi. Ole anachopaswa kukifanya cha kwanza ni kusafisha nyumba yake.”