Kama J.Sancho bei yake daah.. bora dili limekufa, wanatufanyia mtimanyongo sanatimu tatu zinaweza kutuma offer kwa mchezaji mmoja hapo sasa inabaki kazi ya timu na mchezaji kusikiliza offer nzuri.
pia usikute United hawana mpango wowote na huyo dogo isipokuwa wakala wake na magazeti yanataka kufanya biashara.
Barca na Madrid wanahusishwa na Jovic lakini sio habari ya mjini, je ushawahi kujiuliza ingekuwaje huyo dogo angehusishwa na timu yako??
huyu Herrera pamoja na uhodari wake lakini angeachwa na Madrid au Barca wala isingekuwa story.
Anaondoka RVP+ ROONEY+ ZLATAN.. tunabaki na LUKAKU+ RASHFORD+ LINGARD.Naelewa jinsi unavyoumia,mimi binafsi niliumia sana kuuzwa kwa RVP.
Ila maisha lazima yaendelee tu mzee
Anaondoka???Atafanya kilichofanywa na herera
Sasa mpaka leo hajapewa mkataba unategemea nin?Anaondoka???
Aende tuSasa mpaka leo hajapewa mkataba unategemea nin?
Sikatai juu ya uwezo wake, lakini ni Mara ngapi hukaa benchi na team inashindaBraza hazadi ndiye anayeifanya chelsii kuwa timu tofauti na agresivu kwenye kushambulia. Akiondoka mtalimia meno. Hazadi pale chesii ni kama Messi pale Baselona,akiondoka tu hata swansii wataomba wahamie Hispania ili wakainyanyase Baselona
Wapo kibao tu willian, Luiz, Ngolo, jorginho, Pedro, higuain, kovacicUkiacha Hazard, mastaa wenu ni Rudiger, Azpilicuata, Odoi na nani vile?
Kwa hiyo kama hao wote unawahesabu ni mastaa wa kuipa timu matokeo, kwa Man Utd ndio wapo watatu tuWapo kibao tu willian, Luiz, Ngolo, jorginho, Pedro, higuain, kovacic
Sio kweli hata kama akiondoka kumbuka anakuja Christian PulisicMbn unapinga ukweli unaoujua kabsa! Aondoke hazard tu na wachezaji wengine wabaki, uone mtakavyopukutika na
kitakachotokea kweny timu yenu. Bora hata umejitahid kutaja wachezaj wa3 wa united kuliko nyie ambao mnao mmoja tu.
Sasa kama mchezaji bora wa club ni Luke shaw unategemea niniKwa hiyo kama hao wote unawahesabu ni mastaa wa kuipa timu matokeo, kwa Man Utd ndio wapo watatu tu
Ukiambiwa uchague Luke Shaw na Alonso unachagua yupiSasa kama mchezaji bora wa club ni Luke shaw unategemea nini
Sio kweli hata kama akiondoka kumbuka anakuja Christian Pulisic
Hiyo mara ngapi unalinganisha na Full season bila Eden??.. Tena mmefungiwa usajili .!Sikatai juu ya uwezo wake, lakini ni Mara ngapi hukaa benchi na team inashinda
Ha ha ha ha hamuwezi kufanya long run na mkafanikiwa bila yule kijana. Labda aondoke halafu mtengeneze mfumo mwingine wachezaji waelewane ndipo mrudi mstarini. Kwa hyo akiondoka tegemeeni kuyumba kwa msimu mmoja au miwili mbele kabla hamjarudi mstarini. Tunza hii comment na ikitokea nimesahau unikumbushe pale yatapowakutaSikatai juu ya uwezo wake, lakini ni Mara ngapi hukaa benchi na team inashinda
Sio Pulisic tu hata Zouma anarudi... Giroud+ Hazard wanasepa mbaki na Higuain+ Odoi.Sio kweli hata kama akiondoka kumbuka anakuja Christian Pulisic
Unajua Hazard anachukua mchezaji bora pale Chelsea mara ya ngapi hii mfululizo.!??Sasa kama mchezaji bora wa club ni Luke shaw unategemea nini
Huyu Pulisic toka akubali kwenda Chelsea benchi limekuwa lake kitambo sasa...Pulisic huyu anaekaa bech Dortmund?
Mchezaji anasoteshwa bench na Overrated wa Kiengereza (Sancho) unataka kusema ataziba pengo la Hazard?
Tungelikwisha Mkuta katuwa Bayern