Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu ana skills za kutosha, japo mbio ni silaa yake kubwa

Mechi ya City amemtesa sana Otamendi na Walker
anahitaji kusimamiwa na mwalimu mwenye CV nzuri ya kutengeneza young players mfano guardiola, klopp.

namuona ana kasoro nyingi zinazopaswa kurekebishwa kama guardiola na sterling kwa mfano ana papara au haraka haraka ya kufanya maamuzi .
tutafanya makosa makubwa sana kama ndiye atakayekuwa usajili wetu wa pekee eneo la winger.

anaonekana ni kijana mwenye bidii na asiyekata tamaa kama gareth bale.
harry redknapp alimtengeneza gareth bale na kuwa tishio, wacha tumsubirie OGS tumuone atawaibuaje wachezaji vijana.

sura nyengine ya damushin
 
Ni Muingereza huyu?
 
Nafuu hata Jones. Ingawaje kuna watu wanamkubali binafsi Young huwa simwelewi kabisa!!
Young yameshakua maji ya jioni na yeye analijui hilo Anajua kabisa hastahili Namba kwenye timu yeyote top six
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…