SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
Hao makocha uliosema..baadhi yao wana kazi na cyo rahic kuwachomoa huko waje mwako.
Nasemea Idle coacher
Bila keita ni 170m, ukimuweka keita ambaye hela ilitoka january ni zaidi ya 220m kwa msimu uliopita tu.
Compare na Timu nyengine isiyo Man city/Man u nyie ni spenders wakubwa tu.
Spurs wamespend 0 msimu uliopita.
Umeandika point.
Kocha mzuri saiv unamtoa wapi? Unampata wapi?
Mkuu kui rebuild utd itachukua no less than 3yrs.......Kama ulivyo ainisha hapo juuUnaongelea 3-4 year project:
Year 1: assess the current squad
Year 2: recruit, assemble and get rid of the mediocre players
Year 3: continue-to recruit and make reinforcements
Year 4: fine tuning/reinforcements
Year 5: turn the quality squad into a contender and start challenge for the titles
Hiyo ndio blueprint of Jurgen Klopp’s project
The issue is: do you have such patience????
Umeandika point.
Kocha mzuri saiv unamtoa wapi? Unampata wapi?
Man Utd Ni club kubwa, zaidi ya nusu ya hao makocha hapo juu waki fuatwa na wawakilishi wa utd kuwa offer kuinoa utd watakubali with right convincing and a well outlined proposal of what utd want in term of rejuvenating the club.....Nuno Espirito Santo
Pochettino
Laurent Blanc
Arsene Wenger
Rafa Benitez
Javier Garcia
Walter Mazzarri
Former AS Roma manager
Na ndio hapo unapojuta kwanini hujamsupport LVG.Mkuu kui rebuild utd itachukua no less than 3yrs.......Kama ulivyo ainisha hapo juu
Year 1;cleanse and recruit real good players
Yerar 2; strengthen the squad, recruit top class payers
Year3; contend and win titles....
Mi natamani leo kesho timu iuzwe kwa wale waarabu waliotengeneza habari baadae wakaikanaMkuu shukrani kwa hii taarifa na huyo jamaa alisepa sababu skaut hawasikilizwi pindi wakileta targets zao..... Inaumiza sana
Kwahy Arsene wenger aje united, Yan mchana kweupe Wenger awe kocha wa united?Waliopo bench:
Yule aliekuwa kocha wa AS Roma
Laurent Blanc
Arsene Wenger
Frank Rijkaard
Ahahah mkuu hongera kwanza!! Ucl ni ya Liverpool, klopp will make itUna maswali ya Kukera kweli
Kwahy Arsene wenger aje united, Yan mchana kweupe Wenger awe kocha wa united?
United uvumilivu huo hakunaUnaongelea 3-4 year project:
Year 1: assess the current squad
Year 2: recruit, assemble and get rid of the mediocre players
Year 3: continue-to recruit and make reinforcements
Year 4: fine tuning/reinforcements
Year 5: turn the quality squad into a contender and start challenge for the titles
Hiyo ndio blueprint of Jurgen Klopp’s project
The issue is: do you have such patience????
United uvumilivu huo hakuna
Miaka 3 unaona mingiUnited uvumilivu huo hakuna
Jamaa hajui kwa msimu ujao hata Kama EPL ingekuwa Ina gombewa kwa uchaguzi alafu fans ndo wapiga kura, UTD pamoja na kuwa na fans wengi kuliko timu yeyote dunia haitoshinda EPL,Basi itakuwa fukuza fukuza kama hii miaka 6 iliyopita toka SAF astaafu
Mnaonaje msimu tukiwaazimisha ORIGI a.k.a OYANGO aje awaboost kidogo
Lengo ni kuiangusha MUFC kibiashara! Na kuiangusha kibiashara sio kusign petitions wala kufanya maandamano uwanjani ikiwa tayari mshalipa season ticket.Sidhani kama hili jambo litafanikiwa
Mwaka 2010 iliibuka vuguvugu kubwa sana iliyoanzishwa na Manchester United Supporters' Trust. Ikumbukwe tu kuwa vuguvugu la Anti Glazer lilianza miaka ya mapema ya 2000
Mwaka 2010, Walianzisha movement ya ku sign petition ya kupata angalau watu 100,000.....ili kuonesha ni kiasi gani Galzer hakubaliki. Baadaye wakapata watu zaidi ya 120,000
Hiyo movement iliitwa LUHG, Love United, Hate Glazer.
Trust ilitafuta matajiri (Red Knights) ambao ni mashabiki wa United ili kwa kushirikiana na Washabiki wa United wa kawaida watoe mpunga ili wainunue timu kutoka kwa Glazer
Baadae Glazer akataja bei kubwa (£1.6bilion) na mashabiki wakashindwa kuinunua timu, mambo yakaishia hapo
Kwahiyo hii movement inaweza tu kuonesha kwamba watu wamechoka na inaweza kupeleka meseji kwa Glazers lakini sidhani kama itafanikiwa kihivyo
You make sense.Ni kweli mtuu timu ya ushindani ya muda mrefu yajengwi kwa kununua wachezaji wengi au wote ambao Ni world class,
*Bei zao Ni kubwa mno kwa soko la sasa hivi
*Wengi wako kimaslahi zaidi kuliko kujitoa kwa timu
*Wengi huja kujawa na majivuno(kujiona wakubwa kuliko club/kocha/wachezaji wenzao)
Hawa wanafaa unapokuwa upo desperate kushinda taji ndani muda mfupi(msimu au wa 2)
Timu zote zinazofanya vizuri kwa muda wa Kati/mrefu, wachezaji zilionao sio wote walinunuliwa wakiwa world class, Liverpool,City, Spurs, Bayern,Barca, Ajax(wanakuja vizuri), hizo zote zimejaaa wachezaji ambao ustaa wao wameupatia klabuni, japo kunawachache Sana Ni mastaa kwa kununuliwa..,...Mou Ni kocha mzuri wa kuleta matokeo ya haraka/ndani ya muda mfupi, Hata Ed Woodward naaamini alimleta kwa malengo hayo kuipatia utd kombe kubwa(EPL/UEFA) ndani ya msimu au wa 2, na Mou kweli Ana rekodi nzuri Sana ya kufanya hivyo/kuchukua kombe ndani ya msimu au wa 2, hata utd kapiga kazi nzuri msimu wa kwanza Europa, wa2 utd was strong EPL title contender, wa 3 Kama kawaida akafukuzwa....
Why, huwa anapata makombe kwa kununua wachezaji waliova tayari kwenye timu zingine anawaunganisha anashinda kombe, shida kuwa wachezaji Hawa wengi huwa na viburi hivyo hugombana nao baada ya muda mfupi TU hivyo yeye kutimuliwa kwa timu kupata matokeo mabaya.....
Mtizamo wangu,
*utd walikuwa sahihi kumuajiri Mou, walifanya makosa kumuongeza kandarasi, pia walikuwa sahihi kumfukuza.....
*Utd itafute director of sport/football mzuri, pamoja na kocha mzuri..
*Utd ijipe msimu 2 ya kungeneza timu kwa kufanya mpango mzuri wa kusajili(kuachana na habari ya matop player kwa sasa) ijikite kwenye kununua potential talents, kidoooooogo baadae ndo inunue top/world class kuziba mapengo machache (
Kama walivyo fanya city na Liverpool, wamekuja kununua wachezaji wa Bei ghari kuziba mapengo machache TU,(liver beki na kipa)
Otherwise, kwa ubovu wa timu ya UTD sahivi hata ikitumia350m, kwenye usajili huu kwa kusafaka top/world class itambulia wachezaji 3, ambao hawataleta mabadiliko makubwa kwenye kikosi kushindana na city na liver next season, hivyo kuishia kuleta mikwaruzano na kocha na wachezaji wengine, na kuomba kuondoka mwishoni mwa msimu, Hivyo tatizo linarudi pale pale pale, Bora itumie hata250m kutafuta wachezaji ambao hawaanza kuwa mastaa ila wa vipaji na wanaweza endana na falsafa ya timu, tukipata Hawa 4/5, then mwakani ndo timu ingalie mapengo yapo wapi iliyazibwe na hao top class 2/3....
Patience inakuwepo ukiwa unaokoteza hata hivi vikombe vya mbuzi.Unaongelea 3-4 year project:
Year 1: assess the current squad
Year 2: recruit, assemble and get rid of the mediocre players
Year 3: continue-to recruit and make reinforcements
Year 4: fine tuning/reinforcements
Year 5: turn the quality squad into a contender and start challenge for the titles
Hiyo ndio blueprint of Jurgen Klopp’s project
The issue is: do you have such patience????