Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu kitendo cha kuwapa mikataba wachezaji kama Smalling, Jones na Young inaonesha wazi hamtafanya Transfer market ya maana summer hii hii timu inayomaliza msimu ndio mtakuwa nayo tena next season Transfer mtafanya lakini sio kama hii uliyosema wewe
 
Hapo sijamaanisha tutasajili wote mkuu

Nimejaribu kuainisha options zilizopo

Kuhusu Jones, Smalling na Young, nahisi wamepewa mkataba ili wasiondoke free japo pia upo uwezekana wa hao watu kuwepo next season

Ukiniuliza mimi kuhusu kuwa na hao wachezaji ulionitajia, Jones nataka auzwe kwa asilimia zote, lakini Smalling na Young wakibaki kama back up kwa msimu ujao sitajali
 
Hii kauli manchunian wameisikia kweli
 
Kama kawaida yetu tushaanza ule unanga wetu wa miaka yote. Saiv ni Messi mpya tunamnyatia. Mwisho wa siku anaenda kwingne. Inakuaga kama vile ss ni daraja la timu nyingn kupata wachezaji
 
# unsubscribe Manchester united thread#
 
Ume summerize vizuri mkuu
Mambo Ni

Hii kampeni ikiendelea deal ya biashara za club lazima ziyumbe.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…