Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu ngoja tupumzike UCL, hatuna timu pale
 
 
Umeongea facts kwa uchungu sana!
 
umesema kweli asee.
 
Jamani hivi mfano chelsea aende fainali abebe kombe la Europa na mechi ijayo man u ashinde mechi dhidi ya Cardif na awe nafasi ya tano na arsenal apigwe na Burnley awe nafasi ya sita hapo inakuwaje kwenye sheria za Uefa zinasemaje pale timu inapoingia top four na vilevile ikachukua Europa....????
 
Ndo kinachoniboa mimi..awaweke benchi then apange madogo tujue kimoja..
Anampanga Jones anamuacha Smalling, kuna magoli kama 2 Jones alitaka kuchomesha

Anamuacha nje Dalot game tunayopaswa kushambulia mwanzo mwisho anamwanzisha Young

Matic in Fred out and/or Ander out

Mchezaji wake pendwa Rashford ndio huyo, msimu ujao lazima anyang'anywe namba na Greenwood na OGS akimng'ang'ania ataondoshwa mapema na Glazer (nina uhakika kuna clause inayoongelea achievement ya kocha, Glazers watakuwa wameshajifunza).

Rashford is faster Welback version
 
Sheria ni kwamba wanaoingia UCL ni wale wa nafasi 1—4

Wa nafasi ya 5 kwenda chini huko ataingia UCL kama tu amechukua ushindi wa UCL au Europa League

Hamna msaada wa namna hiyo ambao United ataupata kupitia Chelsea
 
Nilikuwa nawaza Luke Shaw kuwa Mchezaji bora msimu huu, lakini kwa jinsi alivyochomesha mechi ya Wolves kisha ya jana ya Huddersfield ni bora tu mwaka huu hiyo tuzo ikasubiri mwakani
 
Around 3rd December 2018, Jose Mourinho gave this statement. Fast forward to United's fine form under Ole Gunnar Solskjær which made us be in TOP 4 and every united page went crazy on Jose and his this Statement.

5th May 2019, Man Utd will miss the Champions League next season. He already knew that the players do not have the fight to carry the pressure this clubs puts on them.

I'm happy that I wasn't like the other pages who ranted on Jose's statement. How can you treat a manager who's been one of the best in the last 20 years? Sacking Jose was one the most embarrassing things the Club has ever done, and I'm not scared to say this.
 
Jose ni kocha endapo tu atapewa anachotaka. Akipata wachezaji wa type yake, jose humtishiii kwa timu yyt ile.
Yes kiusajili last season kuna namna siyo.....ila jamaa anajua.

Hiv haiwezekan kumrudsha bhana na saiv sijui ataenda club gani mana hasikiki ataenda wapi
 
Bandiko zuri kabisa sasa naomba kujua falsafa ya Man Utd toka babu akiwepo maana alishinda vikombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…