Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Uma-make sense kinoma mkuu
 
Sababu ni moja au mbili.....
Mosi; Man u bado inatembelea deals ilizoingia zaidi ya 3years ago,Kama mambo yatobadilika uwanjani(hata dalili zisionekane).. kwenye KU renew hizo deals (mfn ya Adidas) hawakuwa na edge ya KUPATA deal nzuri...

Pili; Mashibiki bado hawajakata tamaa, timu inapanda na kushuka (matokeo uwanjani).... Ikiendelea hivi washabiki watahama ila watakatamaa kufuatilia timu....

Mshisho; deals inazopata Ni ishara ya kuwa ambassador wa kampuni husika, sasa kampuni pia huzinashinda kwenye kutafuta ambassador mwenye image/taswira nzuri Kama connotation ya ufaulu wa timu/ambassador ndio uzuri wa bidhaa/Huduma zao
 
3 years ago when nothing was promising on performance and yet, the club was still making more money than any in EPL.

Kuhusu deal ya Adidas nani hakuwa na edge ya kupata deal nzur? Kumbuka Adida yupo na madrid apo kitambo tu.

Pili; Mashibiki bado hawajakata tamaa, timu inapanda na kushuka (matokeo uwanjani).... Ikiendelea hivi washabiki watahama ila watakatamaa kufuatilia timu....
Watu walijua kabisa kama Ferguson akiondoka timu itastruggle. Mashabiki wa Manutd wote walitambua hili kama huyu Babu alochukuwa makombe na darren fletcher uwanjani haiwezekani kuwa replaced na ndio maana mashabiki wameweza kuwa wastahmilivu. Hakuna shabiki anaejua mpira akaihama Manutd. Hao watakuwa glory hunters tu na inamaanisha kuwa siku manutd ikirudi kwenye heshima yake mashabiki wanarudi ndipo utaelewa kuwa MUFC ni empire.

By the way, kitu ambacho ni frustrating kwa Man u fans ni wachezaji kutojua nini wanafanya uwanjan wengine not even trying.

Mshisho; deals inazopata Ni ishara ya kuwa ambassador wa kampuni husika, sasa kampuni pia huzinashinda kwenye kutafuta ambassador mwenye image/taswira nzuri Kama connotation ya ufaulu wa timu/ambassador ndio uzuri wa bidhaa/Huduma zao
MUFC naona ni ambassador wa kampuni nyingi kubwa kubwa tu.
 
Tukipoteza au kutoka draw na hawa walioshuka daraja, top four kwaheri. Morali itashuka sana hata walioshuka daraja Jana Cardiff watatuchapa vizuri wiki ijayo.
Kwa uchezaji wa Pogba na Rashford kitu kama sio cha kushangaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…