lukesam JF-Expert Member Joined Feb 23, 2015 Posts 13,199 Reaction score 28,080 Apr 28, 2019 #109,481 Konaball said: Mshumbuliaji mwenyewe Rashid Ufudu kila mpira analikimbia goli Click to expand... Huyu ampishe Sanchez,na imani naye.
Konaball said: Mshumbuliaji mwenyewe Rashid Ufudu kila mpira analikimbia goli Click to expand... Huyu ampishe Sanchez,na imani naye.
K Konaball JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 2,949 Reaction score 1,940 Apr 28, 2019 #109,482 Huyu kocha basi sub atamtoa Lukaku baada ya Rashford
3llyEmma JF-Expert Member Joined Oct 23, 2017 Posts 6,172 Reaction score 6,885 Apr 28, 2019 #109,483 ruralofficer said: Dogo ameshavimba wakati hata level ya delle ali hajaifikia Click to expand... Huyu dogo jinga sana.. hiyo namba 10 Mgongoni ni uingereza tu hafai kuivaa
ruralofficer said: Dogo ameshavimba wakati hata level ya delle ali hajaifikia Click to expand... Huyu dogo jinga sana.. hiyo namba 10 Mgongoni ni uingereza tu hafai kuivaa
ruralofficer JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 2,499 Reaction score 3,635 Apr 28, 2019 #109,484 Mc cane said: Degea anajua msimu ujao hatakuwepo United, hivyo hata tusipocheza UCL hana hasara Eti kwa kiwango hicho anataka £350,000/= Click to expand... Aondoke tu,hana heshima tena
Mc cane said: Degea anajua msimu ujao hatakuwepo United, hivyo hata tusipocheza UCL hana hasara Eti kwa kiwango hicho anataka £350,000/= Click to expand... Aondoke tu,hana heshima tena
3llyEmma JF-Expert Member Joined Oct 23, 2017 Posts 6,172 Reaction score 6,885 Apr 28, 2019 #109,485 Mc cane said: Degea anajua msimu ujao hatakuwepo United, hivyo hata tusipocheza UCL hana hasara Eti kwa kiwango hicho anataka £350,000/= Click to expand... Gea uwezo anao.. tusimbeze kwa mechi 3 wakati katuokoa misimu 3+
Mc cane said: Degea anajua msimu ujao hatakuwepo United, hivyo hata tusipocheza UCL hana hasara Eti kwa kiwango hicho anataka £350,000/= Click to expand... Gea uwezo anao.. tusimbeze kwa mechi 3 wakati katuokoa misimu 3+
Robert M Member Joined Apr 27, 2019 Posts 22 Reaction score 14 Apr 28, 2019 #109,486 De gea bado ana msongo wa mawazo na yale magoli ya Everton hahahahahahahahah
The Humble Dreamer JF-Expert Member Joined Oct 12, 2015 Posts 8,011 Reaction score 11,429 Apr 28, 2019 #109,487 Ni £500000 Mc cane said: Degea anajua msimu ujao hatakuwepo United, hivyo hata tusipocheza UCL hana hasara Eti kwa kiwango hicho anataka £350,000/= Click to expand...
Ni £500000 Mc cane said: Degea anajua msimu ujao hatakuwepo United, hivyo hata tusipocheza UCL hana hasara Eti kwa kiwango hicho anataka £350,000/= Click to expand...
K Konaball JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 2,949 Reaction score 1,940 Apr 28, 2019 #109,488 Hii game tunaweza poteza ingawa
K Konaball JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 2,949 Reaction score 1,940 Apr 28, 2019 #109,489 Leo Hazard anaonekana mzuri sababu anacheza na wakabia macho
K Konaball JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 2,949 Reaction score 1,940 Apr 28, 2019 #109,490 Wale mazuzu wa Chalsea leo wanaonekana bora tena Old Trafford
mfarisayo JF-Expert Member Joined Nov 23, 2010 Posts 5,160 Reaction score 2,004 Apr 28, 2019 #109,491 Konaball said: Leo Hazard anaonekana mzuri sababu anacheza na wakabia macho Click to expand... Hazard sio wa kumkaba kichwa kichwa ukienda vibaya akikugeuza anapa nafasi ya kuleta madhara
Konaball said: Leo Hazard anaonekana mzuri sababu anacheza na wakabia macho Click to expand... Hazard sio wa kumkaba kichwa kichwa ukienda vibaya akikugeuza anapa nafasi ya kuleta madhara
K Konaball JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 2,949 Reaction score 1,940 Apr 28, 2019 #109,492 top 4 bye bye
The Humble Dreamer JF-Expert Member Joined Oct 12, 2015 Posts 8,011 Reaction score 11,429 Apr 28, 2019 #109,493 Basi tujipange na yuropa msimu ujao...chelsea kapita tayar
WALDO JF-Expert Member Joined Mar 15, 2019 Posts 422 Reaction score 421 Apr 28, 2019 #109,494 manure bana kikosi cha walevi tu
WALDO JF-Expert Member Joined Mar 15, 2019 Posts 422 Reaction score 421 Apr 28, 2019 #109,495 kwahiyo manure mnafanyaje sasa au ndo moja kwa moja kule futuhi kama aroni anavodai
tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 22,191 Reaction score 29,749 Apr 28, 2019 #109,496 De gea bana!!wamwache aende zake akafie mbali huko
K Konaball JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 2,949 Reaction score 1,940 Apr 28, 2019 #109,497 Hii timu aijui ata umuhimu wa mechi wanacheza tu ilimradi dakika ziishe matokeo sio muhimu
milangomitatu JF-Expert Member Joined Nov 30, 2016 Posts 1,469 Reaction score 1,167 Apr 28, 2019 #109,498 Matokeo mazuri kwa Arsenal haya
SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member Joined Aug 25, 2010 Posts 9,539 Reaction score 5,923 Apr 28, 2019 #109,499 tamuuuuu said: De gea bana!!wamwache aende zake akafie mbali huko Click to expand... The new Karius
tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 22,191 Reaction score 29,749 Apr 28, 2019 #109,500 Konaball said: Hii timu aijui ata umuhimu wa mechi wanacheza tu ilimradi dakika ziishe matokeo sio muhimu Click to expand... De Gea Rashfold Pogba Marshal Smalling Sanchez etc Waondolewe,hawana uchungu na timu
Konaball said: Hii timu aijui ata umuhimu wa mechi wanacheza tu ilimradi dakika ziishe matokeo sio muhimu Click to expand... De Gea Rashfold Pogba Marshal Smalling Sanchez etc Waondolewe,hawana uchungu na timu