Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Dah natamani sana kweny hii game vs Chelsea Mournho angekuwepo...yule jamaa angethibit watu fuln vizur sana. Hata game ya city Mou angekuwepo, angenitolea droo tuu
 
Tulikuwa na hulka tu ya kumuona Jose' yupo wrong kwenye kila kitu..kitu ambacho sio kweli

Pep kaingiza mabeki wawili sijui watatu as substitution
 
Pasi ya hela hiyo, halafu kuna watu wanasema Lukaku hana control
 
Naona Chelsea wametake control ya game, tempo ile ya dakika za mwanzo tungeimaintain uhakika wa ushindi ungekuwa mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…